Je, viongozi uliowachagua unategema watakukwamua kiuchumi?

Kuboma

Senior Member
Joined
Jan 31, 2025
Posts
154
Reaction score
189
(1) Akiumwa anatibiwa yeye na familia yake
(2) Watoto zao hawasomi shule za kata
(3) Hawapiti kwenye barabara zetu mbovu
(4) Shopping zao kuanzia nguo mpaka furniture ni Ulaya na Dubai

Sasa unatagemea watu kama hawa kweli wanaweza siku moja kukukwamua kiuchumi na kijamii?
 
Fist mistake, kuwategemea wao kukukwamua kiuchumi
 
Wao ndiyo inabidi watutengeneze mazingira ya kujikwamua kiuchumi,sababu tumewakabizisha rasilimali zetu kuanzia ardhi,misitu,bahari,maziwa,madini,mbuga za wanyama na kila tu,siyo wajinufaishe wao
 
(1) Akiumwa anatibiwa yeye na familia yake
(2) Watoto zao hawasomi shule za kata
(3) Hawapiti kwenye barabara zetu mbovu
(4) Shopping zao kuanzia nguo mpaka furniture ni Ulaya na Dubai

Sasa unatagemea watu kama hawa kweli wanaweza siku moja kukukwamua kiuchumi na kijamii?
Kijana shupavu na akiri timamu kama Mimi niwe nategemea wakina vikongwe Wasira kweli mkuu? labda akiri zangu ziwe Sawa na UVCCM
 
Ukiwekewe misingi mizuri na viongozi wako huwezi kuhangaika,mfano watu wa Libya kipindi cha Gadafi na Libya ya sasa hivi,au watu wanaokimbilia ulaya kutafuta maisha
 
(1) Akiumwa anatibiwa yeye na familia yake
(2) Watoto zao hawasomi shule za kata
(3) Hawapiti kwenye barabara zetu mbovu
(4) Shopping zao kuanzia nguo mpaka furniture ni Ulaya na Dubai

Sasa unatagemea watu kama hawa kweli wanaweza siku moja kukukwamua kiuchumi na kijamii?
Wale waliopatikana kwa vifua vipana? Au kwa wakaopatwa na tume Jecha a.k.a tume chukua chako mapema a.k.a ccm
 
Back
Top Bottom