Fist mistake, kuwategemea wao kukukwamua kiuchumi(1) Akiumwa anatibiwa yeye na familia yake
(2) Watoto zao hawasomi shule za kata
(3) Hawapiti kwenye barabara zetu mbovu
(4) Shopping zao kuanzia nguo mpaka furniture ni Ulaya na Dubai
Sasa unatagemea watu kama hawa kweli wanaweza siku moja kukukwamua kiuchumi na kijamii?
Wao ndiyo inabidi watutengeneze mazingira ya kujikwamua kiuchumi,sababu tumewakabizisha rasilimali zetu kuanzia ardhi,misitu,bahari,maziwa,madini,mbuga za wanyama na kila tu,siyo wajinufaishe waoFist mistake, kuwategemea wao kukukwamua kiuchumi
Kijana shupavu na akiri timamu kama Mimi niwe nategemea wakina vikongwe Wasira kweli mkuu? labda akiri zangu ziwe Sawa na UVCCM(1) Akiumwa anatibiwa yeye na familia yake
(2) Watoto zao hawasomi shule za kata
(3) Hawapiti kwenye barabara zetu mbovu
(4) Shopping zao kuanzia nguo mpaka furniture ni Ulaya na Dubai
Sasa unatagemea watu kama hawa kweli wanaweza siku moja kukukwamua kiuchumi na kijamii?
Ukiwekewe misingi mizuri na viongozi wako huwezi kuhangaika,mfano watu wa Libya kipindi cha Gadafi na Libya ya sasa hivi,au watu wanaokimbilia ulaya kutafuta maishaKijana shupavu na akiri timamu kama Mimi niwe nategemea wakina vikongwe Wasira kweli mkuu? labda akiri zangu ziwe Sawa na UVCCM
Wale waliopatikana kwa vifua vipana? Au kwa wakaopatwa na tume Jecha a.k.a tume chukua chako mapema a.k.a ccm(1) Akiumwa anatibiwa yeye na familia yake