Je, vioo huwa vinatofautiana ubora?

Je, vioo huwa vinatofautiana ubora?

fundi bishoo

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2018
Posts
14,264
Reaction score
27,132
Habari zenu wakuu na wakubwa shikamooni

Naomba niende kwenye mada.

Hivi vioo vya kwenye magari(hasa vya madirisha), vya majumbani (ambavyo nyumba nyingi tumezoea kuviona), vioo vya kwenye madirisha au milango huwa vinatofautiana ubora?

Maana unaweza ukapita mahali ukajiangalia kwenye kioo cha mlango unajiona una bonge la pua lakini ukienda kwenye kioo cha nyumbani au salon unajikuta bonge la handsome kumbe sio kabisa.

Hivi hii inatokana na nini wakuu au ni mimi tu ndo naliona hili jambo?

Nawasilisha
 
Viko tofauti kubwa tuu
Vya gari vina lensi mwinuko na ndani kuna nylon ndo maana ukijiangalia unajiona bonge la baunsa vya nyumbani ni flat glass clear kama maji na ni vilain ndio maana ukikiginga tuu na jiwe kinachanika mstari mwanzo mwisho
 
duh apo umenijuza jambo mkuu ngoja nifanye japo kautafiti
 
Mkuu
Thread Nzuri Sana Hii Inafaa Kufanyia Utafiti Wa Haraka
 
Vioo vya kwenye maaghorofa ukijiangalia unakua mweusiii, pua kubwa maskio mapana halafu mfupi mnene. Ila kioo cha ndani unajiona na rangi yako halisi na sura halisi
 
Back
Top Bottom