fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
Hua ni kweli
vp tenA
kabisa mkuu sana sana vioo vya saloon havifaiYaani Unakuwa Bonge Sehemu Nyingine Unakuwa Mwembamba
Viko tofauti kubwa tuuHabari zenu wakuu na wakubwa shikamooni
Naomba niende kwenye mada.
Hivi vioo vya kwenye magari(hasa vya madirisha), vya majumbani (ambavyo nyumba nyingi tumezoea kuviona), vioo vya kwenye madirisha au milango huwa vinatofautiana ubora?
Maana unaweza ukapita mahali ukajiangalia kwenye kioo cha mlango unajiona una bonge la pua lakini ukienda kwenye kioo cha nyumbani au salon unajikuta bonge la handsome kumbe sio kabisa.
Hivi hii inatokana na nini wakuu au ni mimi tu ndo naliona hili jambo?
Nawasilisha
duh apo umenijuza jambo mkuu ngoja nifanye japo kautafitiViko tofauti kubwa tuu
Vya gari vina lensi mwinuko na ndani kuna nylon ndo maana ukijiangalia unajiona bonge la baunsa vya nyumbani ni flat glass clear kama maji na ni vilain ndio maana ukikiginga tuu na jiwe kinachanika mstari mwanzo mwisho
muda upo mkuu [emoji31] [emoji32] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31]Mkuu unamuda wa kutafuta pesa kweli?
Tuko pamoja mkuu ulete mrejeshoduh apo umenijuza jambo mkuu ngoja nifanye japo kautafiti
sawa mkuu ntauletaTuko pamoja mkuu ulete mrejesho
s t o r y. tu hizoWanasema hakidanganyi[emoji851][emoji16][emoji16]