Je vita ya ukrein na urusi ingekuwa tanzania na uganda?

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
African hellow

Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu
Unazani hapa Tanzania ni mkoa gani ungekuwa kifua mbele sana kupigania nchi na mkoa gani ungekuwa nyuma

Mimi naona Dar es salaam tungekuwa mkoa wa kwaza kabisa kupambana na uganda tena na mguu wa kuku

Uku mwaza na mara wakija nyuma yetu kwa ngumi mkononi

Wamasai na mapanga

Wangoni tunajua ni waoga na wahehe pamoja na wabena ni waoga hawa wangekimbia
 
Kwani vita wanapigana wanajeshi au raia wa kawaida
 
Ukrein ili toa amri wanaume wote kupigania nchi yao uliona wanaume wengine wakikimbia kwa visingizio vya ugonjwa
 
Upiganaji wa vita si kama unavyotaka kuamini Ile ni professional kama zilivyo taaluma nyingine. Mzigo unaanzia mezani hadi kwenda kwenye utekelezaji.

Vile vile kuna miundo ya kimedani sasa wamasai wana elimu ya battlefield?
 
Wanaume hawa hawa wa dar mnaokamuliwa muwa mnywe juice eti taya hazina nguvu ya kutafuna miwa??

Hawa hawa mnaotiwa ndimu na pilipiLi kwenye mahindi ya kuchoma ili mpate ladha? 😅

Hawa hawa mnaoshindia chips mayai?

Loh, tumepigwa asubuhi mapema.

"HILI NALO MKALITAZAME"
 
Mbona lindi walipigana vita na wakiipa jina la vita ya maji maji 😂😂
 
African hellow

Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu
Unazani hapa Tanzania ni mkoa gani ungekuwa kifua mbele sana kupigania nchi na mkoa gani ungekuwa nyuma

Mimi naona Dar es salaam tungekuwa mkoa wa kwaza kabisa kupambana na uganda tena na mguu wa kuku

Uku mwaza na mara wakija nyuma yetu kwa ngumi mkononi

Wamasai na mapanga

Wangoni tunajua ni waoga na wahehe pamoja na wabena ni waoga hawa wangekimbia
Mkiwa na kibando cha buku mnaandika uharo wowote...
 
Wanaume hawa hawa wa dar mnaokamuliwa muwa mnywe juice eti taya hazina nguvu ya kutafuna miwa??

Hawa hawa mnaotiwa ndimu na pilipiLi kwenye mahindi ya kuchoma ili mpate ladha? 😅

Hawa hawa mnaoshindia chips mayai?

Loh, tumepigwa asubuhi mapema.

"HILI NALO MKALITAZAME"
Kwani kula mahind na chumvi fdhambi?
 
African hellow

Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu
Unazani hapa Tanzania ni mkoa gani ungekuwa kifua mbele sana kupigania nchi na mkoa gani ungekuwa nyuma

Mimi naona Dar es salaam tungekuwa mkoa wa kwaza kabisa kupambana na uganda tena na mguu wa kuku

Uku mwaza na mara wakija nyuma yetu kwa ngumi mkononi

Wamasai na mapanga

Wangoni tunajua ni waoga na wahehe pamoja na wabena ni waoga hawa wangekimbia

Jamani ni UKRAINE
sasa ukreni ndo kitu gani[emoji3][emoji3]

shule ulienda kweli ww??
 
Back
Top Bottom