Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Ukrein ili toa amri wanaume wote kupigania nchi yao uliona wanaume wengine wakikimbia kwa visingizio vya ugonjwaKwani vita wanapigana wanajeshi au raia wa kawaida
Tutarudi wote.Nitarudi
Mbona lindi walipigana vita na wakiipa jina la vita ya maji maji ππUpiganaji wa vita si kama unavyotaka kuamini Ile ni professional kama zilivyo taaluma nyingine. Mzigo unaanzia mezani hadi kwenda kwenye utekelezaji.
Vile vile kuna miundo ya kimedani sasa wamasai wana elimu ya battlefield?
Mkiwa na kibando cha buku mnaandika uharo wowote...African hellow
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu
Unazani hapa Tanzania ni mkoa gani ungekuwa kifua mbele sana kupigania nchi na mkoa gani ungekuwa nyuma
Mimi naona Dar es salaam tungekuwa mkoa wa kwaza kabisa kupambana na uganda tena na mguu wa kuku
Uku mwaza na mara wakija nyuma yetu kwa ngumi mkononi
Wamasai na mapanga
Wangoni tunajua ni waoga na wahehe pamoja na wabena ni waoga hawa wangekimbia
Kwani kula mahind na chumvi fdhambi?Wanaume hawa hawa wa dar mnaokamuliwa muwa mnywe juice eti taya hazina nguvu ya kutafuna miwa??
Hawa hawa mnaotiwa ndimu na pilipiLi kwenye mahindi ya kuchoma ili mpate ladha? π
Hawa hawa mnaoshindia chips mayai?
Loh, tumepigwa asubuhi mapema.
"HILI NALO MKALITAZAME"
Tuombee tuwe tunakiunga bando la 100000Mkiwa na kibando cha buku mnaandika uharo wowote...
Walikufa kichizi nadhani hilo lipo wazi wenzao walikuwa tayari na elimu ya Battle kwa nyanja pana sana wenyewe wanaenda tu kama kuku.Mbona lindi walipigana vita na wakiipa jina la vita ya maji maji [emoji23][emoji23]
ππππ tuje kujaribuWalikufa kichizi nadhani hilo lipo wazi wenzao walikuwa tayari na elimu ya Battle kwa nyanja pana sana wenyewe wanaenda tu kama kuku.
African hellow