Je, vitabu vya Mungu vinajitambua?

Je, vitabu vya Mungu vinajitambua?

Kavimbe

Member
Joined
May 9, 2023
Posts
51
Reaction score
80
JEE BIBLIA NA QURAN VINAJITAMBUA KUWA NI VITABU VYA MUNGU?

Hili suali ninawauliza Wakristo na Waislam.

✓Je, Quran kama Quran yenyewe inajitambua kuwa ni Kuraan na jee inajitambua kuwa ni kitabu cha Mungu - Waislam naomba jibu la Quran yenu kwa kunukuu mistari ya Quran.

✓ Je, Biblia kama Biblia yenyewe inajitambua kuwa ni Biblia na jee inajitambua kuwa ni kitabu cha Mungu - Wakristo naomba jibu la Biblia yenu kwa kunukuu mistari ya Biblia.
 
Screenshot_20241117-213908.png
 
Wewe ni kichaa kabisa. Period.
 
Qur'an hiyo hapo ikijiita Jina jingine Furqani , inajisemea imetoka wapi
 
Hakuna kitabu cha Mungu kinaitwa bibilia, vitabu vya Mungu ni torati, zaburi, injili na Quran tu.
 
Biblia ni mkusanyiko wa vitabu vya Mungu hiki kitabu cha Mungu cha ufunuo wa Yohana kinasema ufunuo 22:18-19

"Namshuhudia kila mtu ayasikiaye maneno ya unabii wa kitabu hiki, Mtu ye yote akiyaongeza, Mungu atamwongezea hayo mapigo yaliyoandikwa katika kitabu hiki.

19 Na mtu ye yote akiondoa lo lote katika maneno ya unabii wa kitabu hiki, Mungu atamwondolea sehemu yake katika ule mti wa uzima, na katika ule mji mtakatifu, ambao habari zake zimeandikwa katika kitabu hiki.
 
JEE BIBLIA NA QURAN VINAJITAMBUA KUWA NI VITABU VYA MUNGU?

Hili suali ninawauliza Wakristo na Waislam.

✓Je, Quran kama Quran yenyewe inajitambua kuwa ni Kuraan na jee inajitambua kuwa ni kitabu cha Mungu - Waislam naomba jibu la Quran yenu kwa kunukuu mistari ya Quran.

✓ Je, Biblia kama Biblia yenyewe inajitambua kuwa ni Biblia na jee inajitambua kuwa ni kitabu cha Mungu - Wakristo naomba jibu la Biblia yenu kwa kunukuu mistari ya Biblia.
Kwanza kabisa, thibitisha Mungu yupo kweli.
 
Back
Top Bottom