Je, vitambulisho vya machinga ni lazima au ni hiyari?

Lakini siyo lazima kukilipia kurasimisha shuguli za wamachinga hakuhitaji kuwepo kwa tozo sheria ingeweza kutungwa na vitambulisho wakapewa na kutambuliwa bila kutakiwa kulipia elfu 20

Inawezekana kabisa kuwatambua na kuwasajiri bure wamachinga.
 
Kwa taarifa yako huyo unaejifanya kumtetea Hana mshauri yeye ndo kila kitu pale gogoni.
 
Je, kuna ubaya gani kuwatambua wamachinga na kuwafanya walipe kodi sekta isiyo rasmi ni kubwa mno hapa nchini kusababisha kupoteza mapato au wachache walio sekta iliyo rasmi kubeba mzigo. Hili lisitumike kutafutia kura wapinzani.
Wali liko hapa hizopesa elfu 20 zinaenda wapi kwanini hawapewi risti ijulikane inatoka ofisi gani
 
Kumbukizi-: aliyesema kuwa mwana sheria mkuu hana sifa amevuliwa uwakili!
 
👆👆👆Alikamatwa na wagambo kwa kukosa kitambulisho cha machinga.
 
Kwani rais wetu huwa ana tabia ya kusikiliza wanasheria? Amevurunda mangapi yaliyoainishwa kikatiba na bado hasikii wala haoni?
 
Je, kuna ubaya gani kuwatambua wamachinga na kuwafanya walipe kodi sekta isiyo rasmi ni kubwa mno hapa nchini kusababisha kupoteza mapato au wachache walio sekta iliyo rasmi kubeba mzigo. Hili lisitumike kutafutia kura wapinzani.
Kwahiyo kuwatambua wafanyabiashara wadogo ni kuwalipisha fedha zisizoendana na kiwango cha biashara wanazofanya? Kama suala ni kodi ni kwanini wasiweke utaratibu wa kufahamu mapato yao kulingana na mauzo ili walipe kile wanachostahili? Huu ni wizi.
 
Kama wewe ni machinga na hataki kitambulisho hulazimishwi kuwa nacho lakini usilete fujo

Sheria inasema kuwa machinga kutambuliwa na serikali, kusajiriwa na kupatiwa kitambulisho ni lazima, wewe unasema sio lazima. Sasa tukuamini wewe au Sheria?
 
Kuna clip inasema vitambulisho ni bure ila wanalipia gharama ya kuvitengeneza.

Ishu ipo kwenye gharama. If that's case kwanini vitambulisho visiwe kwenye mfumo wa karatasi (barcode)?

Mmachinga aende TRA asajiliwe aprintiwe barcode aende kuilaminate mwenyewe.

Mwisho wa mwaka akae na afisa wa TRA wajadiliane kodi kama threshold ikizidi kiwango kilichopangwa.
 
the point is, TIN ni bure kabisa kwa nini wasingelazimishwa kuingia kwenye mfumo wa kodi kisheria na kiutaratibu wapate TIN halafu wakadiriwe hiyo elfu20 ambayo angeilipa elfu5 quarterly per year?!? nafikikiria sana hilo kama mtz
 
Ashalegea
 
Je njia hii ina changamoto zote?
 
Je njia hii ina changamoto zote?
changamoto naiona hii,wakuu waliopewa jukumu la kusimamia hivi vitambulisho wanalazimisha wajasiriamali wadogo wavinunue na mbaya zaidi wamewekewa malengo hivyo machinga analazimika kuwa na elf20 cash.
 
Tatizo sio Wasimamizi bali tatizo ni sheria ndo inalazimisha wajasiriamali wadogo kupewa vitambulisho na kulipa Tshs 20, 000.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…