Je Voda ni wezi?

DMussa

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2007
Posts
1,310
Reaction score
296
Jamani nimetumiwa hii kwa e-mail.
If this is true basi Watanzania tunaibiwa sana..................

 
Hii email inasambaa kwa kasi kweli. This show how powerful electronic communication is. The power of email and SMS.




.
 
Mbona hii ni wazi kabisa mimi nilisha toa siku nyingi sana line ya VODA toka ianzishwe ile thread ya kususia huduma za RA zote.Mimi nikaamua kujitoa wameniibia vya kutosha saizi aah laha mstarehe na ZANTEL na TIGO ila na hao Zantel wamesha anza kuniibia kwenye internet wamepandisha sasa ni kama 200 kwa MB sasa hii duh balaa.
 
Tariffs za mitandao yote sio siri. Ni kweli Voda is expensive but nadhani pia tuangalie na quality ya service unayoipata. Mitandao ambayo DMussa anaitaja, coverage yake ipo very limited (i.e they have not invested much in their network accross the country and automatically their tariffs could be low). Have you ever travelled outside Dar and experience the coverage of these networks (Tigo, Zantel)?

Also, if you only understand 'traffic Jam' in transportation context, then try these other networks.

I believe most of the customers who have opted for Voda know that it is the most expensive BUT they have joined it anyway. Why? The answer is QUALITY.

Advice: Buy the SIM cards for all the networks, use Tigo and Zantel when you want to save money by not being able to make a call when you want to,AND use Voda or Zain when quality and access matters to you.
 

Inaonyesha wazi wazi kabisa unatetea kibarua chako.
Lakini ukweli ni wazi mnatukamua sana walalahoi sawa siku zenu zinahesabika kama sio masaa.
 
Sina kibarua Zain wala Voda but I just have a bad experience with both Tigo and Zantel.
 
Yaani nilipo nunua simu yangu ya kwanza nilipewa na laini ya VODA bure na airtime ya 1,000/- baada ya wiki mbili nilijitoa Voda na kuiunga na mtandao mwingine. Hiyo ilikuwa 2003! Kwa sasa huwa natumia laini ya Voda ikiwa nina haja y akuzungumza na mtu mwenye line ya Voda kwa muda mrefu, vinginevyo mhmh!
 
Not Zantel man labda tigo ndo wameanza kuwa wezi nw dayz, ukijiunga na huduma yao ya extreme wanakata kabla ya muda kuisha.
 


Sure, but that was some time ago. Not today sister/brother!
Nawapigia walioko TIGO huko mikoani, and I get no problems. Zantel tayari wamesha cover eneo kubwa tu, tena wanatoa huduma ya Internet japo bei wamepandisha.





I do the same. Nina simu mbili, TIGO na Zain (maana Zain ndo mtandao wangu wa kwanza). SIM card ya Voda iko kwenye wallet. Voda wana service inaitwa vodaJAMAA, nimewachagua watu 2 naongea nao Tsh 1 kwa sekunde. Hii kitu Zain wanayo pia, unamchagua mtu mmoja kwenye tariff ya PAMOJA - shilingi 1 kwa secunde. Unaweza kubadilisha mtu uliyemchagua kila baada ya siku 7.


Leo hii wanaojiunga VODA, ni wale akina mimi tunaotaka kuweka SIM card yao kwenye wallet na kuitumia mara mbili au tatu kwa mwezi.




.
 
Nakubaliana na mtoa hoja na I hope hayupo hapa "kuuza" au kukandia biashara zake Vs wapinzani

Ushauri wangu kwenye hili ni hii email iwe kwa kiswahili maana wateja hususan wa vijijini itakuwa taabu kuelewa ujumbe huu mzito.
 
Thanks for pointing it out!Voda is becoming a headache!
 
mimi nadhani hawa Voda hawatupendi ndomaana wana-amua tu! watukomoe sisi walalahoi mm ningependa huu ujumbe ufike kwa wa tz wote na waihame hiyo voda maana kwa karne ya leo hauwezi kuongea kwa dola 1 dk 2 tu haya ni maajabu ya voda.inatukandamiza mno.
 
Swali hili la Je Voda ni wezi na Zain waulizwe....
 
Hizo rates zote ambazo zimeandikwa kuanzia calling other networks and sms hazipo sawa.... Slightly zimepelekwa juu.

I happen to be using Vodacom, tiGO, Zain and Zantel at the same time. Ni kweli bei zao ni juu kidogo zaidi ya mitandao mingine lakini pia na quality of service ni far better kuliko mitandao mingine pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…