Je, Vunja Bei na Mo wamejitoa Simba?

Je, Vunja Bei na Mo wamejitoa Simba?

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,063
Reaction score
12,866
Habari.

Katika press ya Leo ya kumtambulisha kocha mpya wa Klabu ya Simba hapakuwepo na matangazo ya Mo Dewji ,Sport Pesa wala Vunja bei.

Napata Shaka na hii timu kwamba imepoteza wadhamin wake?

FB_IMG_1657651912602.jpg
 
TUMELOGWA AU NI MAKUSUDI

Mwaka Jana Mo alifanya Press hii, na katika eneo hili nyuma yake kulikuwa na Nembo ya Simba Pekee, hakukuwa na nembo ya Mo wala bidhaa yoyote. Hakuna aliyehoji

Leo Simba wamefanya Press kwenye Bango hili hili, na nyuma hakuna nembo ya Mo tumeibuka tunahoji kwanini nembo za biashara za Mo hazipo

Ni kweli tumesahau au ni harakati za kuendelea kumuandamana kijana wa watu?

Hivi si Jezi aliyopewa Kocha leo ina MO 29 mgongoni, au ile ni nembo ya Manukato?

Jamaa akiweka mabango yake kila mahali tunasema anajipendelea, haya akipunguza tunahoji kwanini hayapo

Wallah tumelogwa
exaud_msaka_habari-20220712-0001.jpg
 
TUMELOGWA AU NI MAKUSUDI

Mwaka Jana Mo alifanya Press hii, na katika eneo hili nyuma yake kulikuwa na Nembo ya Simba Pekee, hakukuwa na nembo ya Mo wala bidhaa yoyote. Hakuna aliyehoj...
Usitumie wingi tafadhari
 
TUMELOGWA AU NI MAKUSUDI

Mwaka Jana Mo alifanya Press hii, na katika eneo hili nyuma yake kulikuwa na Nembo ya Simba Pekee, hakukuwa na nembo ya Mo wala bidhaa yoyote. Hakuna aliyehoj...
Ahahhahaha jibu mujarabu
 
Msimu umeisha ni wakati wa kuweka wadhamini wapya
 
TUMELOGWA AU NI MAKUSUDI

Mwaka Jana Mo alifanya Press hii, na katika eneo hili nyuma yake kulikuwa na Nembo ya Simba Pekee, hakukuwa na nembo ya Mo wala bidhaa yoyote. Hakuna aliyehoji

Leo Simba wamefanya Press kwenye Bango hili hili, na nyuma hakuna nembo ya Mo tumeibuka tunahoji kwanini nembo za biashara za Mo hazipo

Ni kweli tumesahau au ni harakati za kuendelea kumuandamana kijana wa watu?

Hivi si Jezi aliyopewa Kocha leo ina MO 29 mgongoni, au ile ni nembo ya Manukato?

Jamaa akiweka mabango yake kila mahali tunasema anajipendelea, haya akipunguza tunahoji kwanini hayapo

Wallah tumelogwaView attachment 2288370
kumilizisha binadam nikaz san
 
JAMANI MLILAMIKA JEZI INA MKOLOKOLO KAMA TEAM ZA SUDAN KILIO CHENU KIMESIKIKA MSIMU HUU HAKUNA MAKOLOKOLO ILI KUFURAHISHA NAFASI ZENU JEZI ITAKUWA PLAIN ,BADO MNALALAMIKA TENA?
 
Mo hawezi toka simba akitoka Bakhresa anaingia au kampuni kubwa kabisa ya magari ya BMW
 
Back
Top Bottom