Je, vyeti vya 'Roots and Shoots' vimewahi kuwasaidia?

Stretcher

Member
Joined
Oct 24, 2020
Posts
34
Reaction score
24
Habari, ikumbukwe kuna chuo cha roots and shoots kiitwachoJane Goodall Institute.

Je, wapo waliofaidika na vyeti hivyo kwa kuajiriwa kwenye ualimu katika chuo hicho?

Asante
 
Vyeti hivyo ndio vipoje mkuu? Make sielewi unamanisha nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…