Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,654
Nadhani kwa vyombo vya Marekani shida ni kuwa timu yao haipo world cup mwaka huu. Suala la kuwa linafanyikia Urusi nadhani linakuja second to that.
Tatu, ambayo inapewa uzito na namba moja hapo juu, wamarekani na mpira wa miguu sio sana. So kama timu yao haipo basi hata mzuka wa wananchi ni mdogo. Na media zinaangalia watu wanataka nini
Mashushushu wa marekani si ndo wamempiga zengwe Blatter mpaka wakamuondoa maana ilifika mahali Sep alilifanya kombe la dunia kuwa maarufu kuliko vita vyao wanavyovianzisha!!.. sasa wamemn'goa na kutuwekea kajitu kasikojua kuleta radha ya soka yani kapo kapo tu.. hata juzi kati hako ka rais kalikuja Tz hakuna hata aliyestuka.. kifupi US ameamua kuua soka.. na usishangae .. mashindano yakianza inaweza kutokea bonge la vita haf concentration ya media zao zikahamia kwenye kutupa updates ya vita 24/7..
Si kweli....unataka walipe uzito kivipi mfano?Nachoona ni kwamba Russia wenyewe hawaipi uzito kombe la dunia,nakutana na wengi wao hawana hata mzuka,hawa majamaa wapo mbali na mpira
Ila safari hii kimya kingi.Ngoja ligi ziishe mkuu....!!! World Cup miaka yote haliwez kuwa tukio dogo. Usiwe na waswas kijana...!!!
Tatizo promo hamna ya kombe la dunia 2018. Hii imechangiwa sana na hali tete ya kisiasa kati ya Urusi na washirika wake dhidi ya USA na UK pamoja na washirika wao.Kiwango cha mpira kimeshuka sana duniani hamna hamasa kabisa.
Watu wako bize na ushindani wa kwny ligi. Concentration ipo huko. Zikiisha ligi wanaanza kukinukisha. Wazungu nawakubali sn wakiamua kutangaza kitu. Hatar...!!!Ila safari hii kimya kingi.
bila shaka, tuwahi tiketi hapa.barafuyamoto tuwahi tickets mkuu. Nitaangalia za Brazil, Ujerumani na Ivory Coast
Ngoja tuwasubiri, ila hata nyimbo za kombe la dunia msimu huu bado hazijaandaliwa.Watu wako bize na ushindani wa kwny ligi. Concentration ipo huko. Zikiisha ligi wanaanza kukinukisha. Wazungu nawakubali sn wakiamua kutangaza kitu. Hatar...!!!
Dr hao Ivory cost hawapo mwaka huubarafuyamoto tuwahi tickets mkuu. Nitaangalia za Brazil, Ujerumani na Ivory Coast
Senegal ni wazuri sana, ukitoa hizi nchi za Kiarabu Nigeria, Ivory Coast na Senegal wanatutoa kimaso masoDr hao Ivory cost hawapo mwaka huu
Morocco
Tunisia
Egypt
Senegal
Nigeria
German Mashine Hapa