Je, vyombo vya habari vya kimagharibi vimesusia kombe la dunia Urusi??

Senegal ni waziri sana, ukitoa hizi nchi za Kiarabu Nigeria, Ivory Coast na Senegal wanatutoa kimaso maso

Kwani nchi za kiarabu hawawezi kututoa kimasomaso!! Tena ni wazuri zaidi ya hao wengine. I know hawatatuangusha
 
Toka Zizu, Dinyo na Okocha wastaafu soka, World Cup imekosa maana kabisa.

Sio kweli bwana. Kwanini kila kitu mnatolea mifano ya zamani? This year ni vile mrussi tu mwandaaji so wale wapumbavu hawakupendezewa i mean hawakufurahia kwa Puttin.
 
Hawa jamaa kuna kitu kinaniambia msimu wao ndio huu! Wako vizuri sana. Kuanzia kina Romero, Otamendi, Higuian, mpaka Messi na wameiva kiulaya zaidi.

Pamoja sana mkuu.umenipa moyo kwakweli.....Dybala, Lamela, Lcardi and Aguero usiwasahau....

Mkuu Lcardi atakuwepo lakini?
 
Pamoja sana mkuu.umenipa moyo kwakweli.....Dybala, Lamela, Lcardi and Aguero usiwasahau....

Mkuu Lcardi atakuwepo lakini?
Dah, nilisahauje kutaja hawa watu! Kwa kweli wana kikosi, mimi nawakubali Ujerumani ila hawa jamaa naona wana nafasi kubwa sana. Na messi hii ndio chansi yake yaweza kuwa wa mwisho kujisimika rasmi kama mwanasoka bora zaidi kuwahi tokea duniani mpaka sasa.
 
Tuko pamoja bro..
 
Hawa jamaa kuna kitu kinaniambia msimu wao ndio huu! Wako vizuri sana. Kuanzia kina Romero, Otamendi, Higuian, mpaka Messi na wameiva kiulaya zaidi.
Wakina nani wako vizuri mkuu? Germany? Hao wachezaji uliowataja ndo watashiriki kombe la dunia kupitia taifa moja au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…