Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanx for detailed answer.Kwenye mishahara wabunge wanakatwa PAYE, marupurupu yao ndiyo hayakatwi kodi. Kiongozi anayelipwa mshahara na marupurupu bila ya kukatwa kodi ni rais pekee yake. Ni sheria mbovu sana iliyopitishwa na serikali ya ccm, kiongozi mkuu wa taifa kuishi kwa kutegemea mwananchi wa hali ya chini alipe kodi ili yeye azifaidi bila ya yeye mwenyewe kuchangia chochote kwenye maendeleo ya taifa lake.