Je, Wabunge Wasaliti 19 watang'olewa Bungeni?

Imekaa vizuri sana hii comrade
 
Magufuli na Ndugai waliharibu sana nchi hii. Ila Mungu aliamua 17/03/21 akampeleka MAGUFULI jehanam.

Na Ndugai naye Jan 2022 akatema USPIKA.

Ila kuna wajinga bado wanawaabudu
 
Wengine sio kama wanauliza kwa kutaka kujua, ni wajinga na wabishi wa kijinga
 
ulambishwe asali bado umuwekee mashariti mwenye kibuyu cha asali hao wapo mpaka 2025
 
Uwezekano wa hawa kufukuzwa Bungeni ni zaidi ya 100% , Hii ni kwa sababu waliingia kwa kufoji ,
Maadam kesi tayari iko mahakamani, nashauri hili tusilishabikie, kama kuna forgery yoyote, Chadema would have done the right thing to deal with forgery!.
Duh...!.
Usaliti ni laana, Kwa Mujibu wa Maandiko Matakatifu, Laana ya Usaliti yaweza kukikumba hadi kizazi cha nne cha Mhusika .

INASIKITISHA SANA!
Naunga mkono hoja usaliti ni laana, ila sio kila usaliti ni laana!, kuna usaliti mwingine ni mpango wa Mungu kumtumia shetani ili Mungu aonyeshe uwezo wake, kama usaliti wa Yuda Iskariote The Role of Yuda Eskarioti Kwenye Ukombozi wa Dunia: Je, Yuda alaumiwe, alaaniwe au apongezwe?!

Pia ni kweli laana ya usaliti huweza kukikumba hadi kizazi cha 4, kitu watu wasichojua, ni laana ni karma!. Kitendo cha mashujaa walioipigania Chadema kwa machozi, jasho na damu, leo kuitwa wasaliti pia husababisha laana!. Makamanda walioigharimia CHADEMA kwa machozi, jasho na damu, leo ni wakuitwa wasaliti? Karma Haitawaacha salama, itawatandika tu
P
 
Si tuseme tu wale wanaume wanatak kurud bungeni kwa nguvu zote walipo hali ni ngumu na asali ni tamu
 
Kesi yao ni ya kupambania uanachama wao tu , kwahiyo haiwezi kuhususha Ubunge .
 
Safi sana. Lile jitu lilikuwa linaiharibu sana hii nchi. NCHI HII HAITAKABIDHIWA KWA WASHAMBA TENA
 
Kesi yao ni ya kupambania uanachama wao tu , kwahiyo haiwezi kuhususha Ubunge .
Duh...!, kumbe watu hamjui details of the case!. Naomba nikusaidie

1. Mahakama itengue (ifute) mchakato na uamuzi wa CHADEMA kuwafukuza/kuwafuta uanachama uliofanywa na KK na BK...

2. Mahakama itoe amri ya kuilazimisha CHADEMA kutimiza wajibu wake kisheria wa kuwapa nafasi ya kusikilizwa wakijitetea dhidi ya mashitaka ya tuhuma zao chamani...

3. Mahakama itoe amri kwa Spika wa Bunge la JMT na Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC) ya kutochukua hatua zozote dhidi ya ubunge wao hadi malalamiko yao yatakaposikilizwa

Hii sio kesi ya jinai ni kesi ya madai!, hapa Samia hawezi kufanya kitu wala DPP hawezi fanya lolote.

Ni ama Chadema wakubaliane na kina Mdee kuyamaliza nje ya Mahakama, vinginevyo mtu anakwenda kuvuliwa nguo!.
P
 
Wapitie mlango wa uani kwa kuhongwa hela ( Ushahidi upo ) halafu avuliwe nguo mtu mwingine !

Chadema haikuwahi kuweka vikao vya kuteua wabunge wa viti maalum , wewe unajua na unaowatumikia wanajua .

Sasa subiri kidogo utaelewa
 
Sametimes Sametimes Pascal dishi lako huwa linapoteza Chanel. Pole sana
 
Sasa kama kesi iliyoko mahakamani haihusiani na wao kuondolewa ndani ya bunge, BUNGE LITAWAONDOA KWA VIGEZO VIPI?
Kigezo cha kuvuliwa uanachama.
Kesi iliyoko mahakamani wamefungua wao kupinga kuvuliwa uanachama sio ubunge kwani kwa vile kwa sasa hawatambuliwi na chama hawana sifa ya kuwa wabunge.
Hilo hata bunge wanalijua, lakini kwa vile ulikuwa mchongo ndio maana wako kimya.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…