Ikiwa Azam hakuna mchezaji anaye weza kuingia katika kikosi Cha kwanza Cha Yanga kwa Simba ni Ngumu zaidi.Kapombe na Hussein
Hata mla ugali kwa sukari?Ikiwa Azam hakuna mchezaji anaye weza kuingia katika kikosi Cha kwanza Cha Yanga kwa Simba ni Ngumu zaidi.
Ukimweka Mlaugali na Sukari Ina maana Aziz K asiwepo, Sasa kama Aziz hayupo Kuna timu kweli apo?Hata mla ugali kwa sukari?
amuweke benchi aucho?!!Daaah hata Debora???