Je!! Wafahamu chimbuko ya lugha ya kiswahili afrika mashariki.

Je!! Wafahamu chimbuko ya lugha ya kiswahili afrika mashariki.

Joined
Jul 31, 2015
Posts
85
Reaction score
9
_wengi husema kuwa kiswahili ni:
_KIBANTU
_KICONGO
_KIARABU

*KIBANTU: wengi husema kuwa chimbuko ya lugha kiswahili ni kibantu
kwa sababu maneno na misamiati yatokanayo na lugha ya kiswahili yametokana na lugha za makabila tofauti tofauti

swali: kwanini watu waishio vijijini huwa wanapata tabu sana kuijua lugha ya kiswahili na kuizungumza....

KICONGO:katika vitabu vingi vinavyo zungumzia chimbuko ya lugha ya kiswahili waandishi wamezungumza ya kuwa chimbuko ya lugha ya kiswahili imetokea congo wakidai yakuwa congo ndo walianza kuitumia lugha ya kiswahili kabla ya afrika mashariki....

swali: ebu jiulize ni taifa gani la afrika mashariki na nje ya afrika masharika linazungumza kiswahili fasaha..

KIARABU:hakuna uhakika zaidi unaothibitisha ya kuwa kiswahili ni kiarabu ila vitabu vinasema waarabu ndo watu wa kwanza kuja afrika mashariki kwa hiyo wao ndo waliileta lugha ya kiswahili ili iweze kuwasaidia katika kufanya biashara ndani ya mashariki hasa katika pwani....je! Wewe uinaifahamu vp ksw
 
Ktk mada yako hii uliyoileta hapa majilisi.hesabu maneno mangapi umetumia yenye asili ya kicongo, kibantu au kiarabu na kwa nini kila sentensi moja au mbili haitakamilika bila kutumia neno lenye asili ya lugha hio, utakua umepata jibu ni lugha gani imeleta kiswahili.
 
Kiswahili ni muunganiko wa lugha nyingi tu
 
Kwa hii reasoning yako hakika Elimu ni tatizo kubwa sana Tanzania.

Kiswahili ni kibantu. Kiswahili kama lugha zingine zote kimekopa maneno toka lugha tofauti tofauti ikiwamo kiarabu, kireno, kichina nk

Kwa maelezo zaidi ingia hapa www.google.com au wikipedia.com

Jiongeze sio kujaza servers za JF bila sababu za msingi
 
Back
Top Bottom