Je, Wagner walipelekwa Gaza kisirisiri?

Je, Wagner walipelekwa Gaza kisirisiri?

Shing Yui

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Posts
15,168
Reaction score
38,049
Habari wakuu.

Mwishonimwishoni mwa mwaka 2023 NATO walilalamika sana kwamba wanajeshi wa kujitolea wa Wagner waliokuwa nchini Ukraine alafu wakapelekwa Belarus walipotea ghafla mbele ya macho ya satellite za NATO pasipo kujulikana walipoenda.

Sasa kipindi kile ulimwengu ulipotezea Jambo hilo huku wadadisi wakifikiri labda wamepotelea mipakani mwa Poland hadi Poland mwanachama wa NATO akaandaa maelfu ya majeshi ili kujiandaa na uvamizi wa Wagner lakini kabla hakijatokea chochote ndipo marekani na uingereza wakasema Wagner wamepotea mbele ya macho yao....miezi michache mbeleni ndipo Hamas wa Gaza wakavamia Israel kwa miamvuli kitu ambacho hakijawahi kutokea.

Sasa kinachoendelea pale Gaza kinanifanya nifikiri labda Putin aliamua kulipiza kisasi baada ya Israel kuwa inapeleka silaha kimyakimya kule Ukraine ili kuvuruga operation ya Urusi nchini humo kitu ambacho Putin alionya mapema kwamba atamfikia kila atakaehusika kuingilia opareshen yake pale Ukraine.

Tumeona mataifa yote ya ulaya yakiteseka na gharama za maisha kupanda, uchumi wa USA kupata shock na ufaransa kunyang'anywa makoloni yake hapo afrika magharibi ambapo palikuwa kama uti wa mgongo wa uchumi wa ufaransa.

Sasa fikra zangu ni kwamba, wale Wagner waliopetea mbele ya macho ya NATO pale mpakani mwa Poland na Belarus alipelekewa Israel ili nae awe bize kupambana na mfupa wake ili aache kiherehere cha kuchungulia mechi za wakubwa.

Ukiangalia kwa jicho la tatu kiburi cha Hamas pale gereza la Gaza hawapo peke yao.
Nguvu anayotumia Israel pale Gaza ungekuta Hamas wamesalimu au wameshindwa.

Wewe fikiria kaeneo kadogo kama wilaya alafu kamezungukwa na Israel kila mahali lakini kanawatoa NATO kamasi kwanini?

Israel kapelekewa na NATO maelfu ya tani za silaha za kisasa kupambana na kagereza ka Gaza lakini amekwama kwanini?

Urusi ndani ya miaka hii miwili kasoro katumia silaha kidogo kudhibidi linchi likuuubwa la Ukraine huku Ukraine hiyohiyo ikipewa silaha na NATO nzima na akawamudu lakini Israel imetumia tani nyingi kuliko Urusi ndani ya miezi miwili kupambana na Hamas waliobanwa ndani ya eneo dogo sana huku wakiwa wapo mashimoni kwanini?

Ngoja niendelee kuwa mtazamaji
 
Lakini mbona moto wa Hamas ni mkali sana wakati wamefungiwa kuanzia nchi kavu, baharini na angani?
Walijipanga mzee nandio maana wakaamua Kukiwasha

Hata wao wazayuni na shosti zake hawaamini kama wanapigana na hamas tupu

Ila ukweli ni kwamba ni hamas tu ndio wanapambana nao

Wazayuni wanavyopenda sifa na video kama watoto wa chuo ingekua washampata PMC walau mmoja halaf ingekua trending kwenye MSM zote yaani
 
Habari wakuu.

Mwishonimwishoni mwa mwaka 2023 NATO walilalamika sana kwamba wanajeshi wa kujitolea wa Wagner waliokuwa nchini Ukraine alafu wakapelekwa Belarus walipotea ghafla mbele ya macho ya satellite za NATO pasipo kujulikana walipoenda...
Wagner wangekuwepo hapo Gaza, sasahivi hii vita ingekuwa inapiganwa ktk mitaa ya Tel Aviv. Mashoga wangekuwa wanapigana kwa kurudi nyuma
 
Ndio ujiulize, tena wamefungiwa kwa miaka 17 lakini taifa leule na jeshi bora dunia linaumbuka mchana kweupe
Sababu kubwa ni moja tu, Hamas wana ngao za binadamu (human shields) ndani ya mashimo, yaani wale mateka. Bila hivyo mahandaki yote yangeshalipuliwa, kufukizwa sumu au kujazwa maji kitambo
 
Sababu kubwa ni moja tu, Hamas wana ngao za binadamu (human shields) ndani ya mashimo, yaani wale mateka. Bila hivyo mahandaki yote yangeshalipuliwa, kufukizwa sumu au kujazwa maji kitambo
Hizi propaganda tu, Hamas wanarekodi kila kitu hii vita ipo live kila tukio lina video, sijaona hata sehemu moja wakitumia watu, ni skilss tu za IDF ni ndogo wanauliwa kizembe sana, unakuta wapo uwanjani wamerundikana kibao ama wanatembea tu mtaani bila shield wanadunguliwa na snipers.
 
Ni kweli skills tu idf hawana sasa ww fikiria wana maj general ana miaka 23 sasa huyo uzoefu katoa wapi
 
Sababu kubwa ni moja tu, Hamas wana ngao za binadamu (human shields) ndani ya mashimo, yaani wale mateka. Bila hivyo mahandaki yote yangeshalipuliwa, kufukizwa sumu au kujazwa maji kitambo
Israel hiihii inayowalenga hadi madaktari wasio na mipaka, shule na hospital ndio iogope kulenga mahandaki?
Tafadhali tafuta utetezi mwingine
 
Hizi propaganda tu, Hamas wanarekodi kila kitu hii vita ipo live kila tukio lina video, sijaona hata sehemu moja wakitumia watu, ni skilss tu za IDF ni ndogo wanauliwa kizembe sana, unakuta wapo uwanjani wamerundikana kibao ama wanatembea tu mtaani bila shield wanadunguliwa na snipers.
Ha ha ha wanakua kama wavietman kwenye movie ya Rambo kama sinakosea!!!!
 
Toka lini Hamas akashirikiana na makafiri bikra zitakosa ladha
 
Back
Top Bottom