Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Leo wakristo wote wanaume kwa wanawake,wanafinika uso,kwa corona kama wanawake na wanaume wa kiislamu wanavyojifinika uso.Mbona hapo husemi kama wakristo,Wakati walipokuwa wakiwaona wanaume au wanawake wa kiislamu wamejifinika uso,wakiwacheka.Wazee wa emergency [emoji16][emoji16],imani bila msimamo hapo ni wizi mtupu.
#MaendeleoHayanaChama
MashaalahWacha nijifakhari na uislamu wanguView attachment 1984623
Kwani dini ni nini mkuu kwa unavyoelewa wewe?
Sibishani na mjinga mm kma na ww ni mjinga poleUmepigwa knockout
Kiswahili hakina alphabet zake,wamechukuwa alphabet za kilatini,ndio hizi tunazotumia.Kiarabu,kichina,kilatini,kijapan,kirassia,kihindi,kipakistani Wana alphabet zao.Kiingereza na kuswali,hakuna alphabet zake.K
Kwenye Kiswahili hatuna herufi q Wala mikato kama r'a
Mngekuwa mnaruhusiwa mngekuwa mwajifinika makanisani na barabarani,kabla ya kuja corona.Wanaume mnaingia kanisani kichwa wazi na wanawake kichwa wazi,hata uso hawajifiniki.Sasa kwa corona nyote mwajifinika uso mpaka makanisani.Wakristo Gani Hawaruhusiwi kufunika uso? Mwanamke akifunika uso amekuwa muislam?
Ndo waga maneno ya walioshindwa hoja😂😂Sibishani na mjinga mm kma na ww ni mjinga pole
He sounds correct, hivi kweli kiswahili sanifu tuna neno q?wewe akili zako unazijua mwenywe ata sibishani na ww
Mzee Jibu maswali kwenye ukristo Kuna kifungu kinakataza watu kujifunika USO?ulishawahi kusikia hata mchungaji yeyote anakataza wasijifunike?Mngekuwa mnaruhusiwa mngekuwa mwajifinika makanisani na barabarani,kabla ya kuja corona.Wanaume mnaingia kanisani kichwa wazi na wanawake kichwa wazi,hata uso hawajifiniki.Sasa kwa corona nyote mwajifinika uso mpaka makanisani.
Sent using Jamii Forums mobile app
wanasema Qur'an haijacha kitu wich means hata Tik tok Qur'an imeizungumzia.
Sasa kama hauelewi dini ni nini unaanzaje kusema hivyo kwamba et kila angazaliwa na dini ya Mungu? wewe unaposema unaamuabudu Mungu maana yake kuna utaratibu unaotumia kumuabudu huyo Mungu na pia una maelezo yenye kumueleza huyo Mungu sifa zake na mambo yenye kuhusu huyo Mungu, sasa ukizungumzia dini ndio unazungumzia kitu chenye kuhusu mambo hayo niliyoyataja.Mtueleze ninyi mnaozifuata hizi dini mimi nammwabudu Mungu tu
Mtaelewa tu taratibu.Kwenye dharura,lazima ufuate kitakachokuokoa.Wakristo wa nchi tatu za Haiti,Mexico na columbia,wanapigana na kuuwana wenyewe kwa wenyewe,maelfu ya wakimbizi wanakimbilia America.Wafikiri kwa nini wakimbilie Amerika,na wangebaki nchini mwao,ndio hiyo dharura,unaacha nyumba,mali,ardhi ,shamba,nchi yako ya asili,na kwenda ugenini,bila kupenda.Ulishajibu hapa
Je, Waislam mtakubali kupandikiziwa figo ya nguruwe?
Wacha nijifakhari na uislamu wanguJe Uislam ni dini ya Amani?www.jamiiforums.com
Haiti ,Mexico,Columbia wote ni wakristo wa madhehebu tofauti,wanaokimbia nchi zao,wanakwenda America,jiulize akifika Amerika,ikiwa dhehebu lake,halipo atajiita mlutherani au Mngalikana au mkatoliki au mprotestant au ...Jibu hili swali sasa
Je, Waislam mtakubali kupandikiziwa figo ya nguruwe?
Kama wewe ni Shia au Ahmadiyya ukitekwa na ISIS au Taliban unaruhusiwa kudanganya ni Sunni ili wasikukate kichwa?Kwenye dharura,katika dini ya kiislamu,unaruhusiwa kufanya jambo la kujiokoa,ni tofauti na wasabato(wakristo),kwa mfano 1.Wasabato(wakristo) hawaongezewi damu,wakati katika uislamu...www.jamiiforums.com
Hakuna lugha ambayo haijachukua maneno kutoka lugha nyingine, kiswahili kimechukua maneno ya kiarabu lakini katika hayo maneno katika matumizi ya kiswahili hakuna herufi Q na hi ndio hoja ya mdauKiswahili hakina alphabet zake,wamechukuwa alphabet za kilatini,ndio hizi tunazotumia.Kiarabu,kichina,kilatini,kijapan,kirassia,kihindi,kipakistani Wana alphabet zao.Kiingereza na kuswali,hakuna alphabet zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mleta uzi mambo ya waislamu hayaamuliwi wala kujadiliwa kiholela. Lipo baraza la Ulamaa ambalo huja na majibu ya maswala kama haya.Tafiti zimeonyesha binadamu meenye matatizoya figo anaweza kupona kwa kupandikiziwa figo ya nguruwe,View attachment 1983581
Kuna dhehebu linaitwa mashahidi wa yehova, hili dhehebu linazuia mtu wa dini hiyo kuongezewa damu,
Je waislam mtakubali kupamdikiziwa figo ya nguruwe?
Katika uislamu kuna kifingu kinachokataza kujitibu?Mzee?Mzee Jibu maswali kwenye ukristo Kuna kifungu kinakataza watu kujifunika USO?ulishawahi kusikia hata mchungaji yeyote anakataza wasijifunike?
Ukijifunika USO umekuwa muislam?
Chief, unataka kupinga nini ama kusema nini hasa? naona unazunguka na unaashiria kifuani unakitu na hutaki funguka!.Haijaacha kitu katika vitu gani hivyo? ndio maana nilitaka kushangaa mbona sijawahi kusikia waislamu wakidai hivyo ulivyosema wewe.
Tunachoongolea ni alphabet ,kwamba Kiswahili hakina alphabet zake,umechukuwa alphabet za kilatini,katika aliphabet za kilatini Q ipo,utaificha vipi,hata kama huna neno lenye Q,ukiiacha alphabet huitutumii,kwa vile tumeazima.Ukiazima nguo ya mtu,na ina mkanda umeshonewa humo humo,hata kama huna kazi nao mkanda,lazima uwe nao.Hakuna lugha ambayo haijachukua maneno kutoka lugha nyingine, kiswahili kimechukua maneno ya kiarabu lakini katika hayo maneno katika matumizi ya kiswahili hakuna herufi Q na hi ndio hoja ya mdau
au nasema uwongo ndugu zangu🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hilo ndo jibu la maswali yangu? Kuwa serious basi