Je, Waislam mtakubali kupandikiziwa figo ya nguruwe?

Mleta uzi mambo ya waislamu hayaamuliwi wala kujadiliwa kiholela. Lipo baraza la Ulamaa ambalo huja na majibu ya maswala kama haya.

Hivyo tuliza kalio ikifika wakati utajua.
Waite ulamaa waje wajìbu
 
Duh! Kwahyo alphabet zote Za kilatini tunazitumia kwenye Kiswahili? J ipo kwenye kilatini?
by the way hata hiyo latini ilikopi wagiriki kwahyo Ni Sawa Kiswahili ukitumia maandishi ya kigiriki kisa alphabet ya Kiswahili ilitoka Kwa kilatini iloyotoka Kwa kigiriki?

Tumia akili mkuu mwalimu wako wa Kiswahili chekechea hakukufundisha herufi Q labda kama ulisomea chekechea madrasa
 
Hapana we ndo hujaelewa, hatuongelei alphabet ya source tunaongelea product ya lugha husika, kwenye kiswahili tuna neno q?
 
chief, ebu rudia kusoma komenti yangu vizuri then jibu nilichokuuliza.
 
Acheni sasa kumwita haramu mpeni sifa zake
Kwa mujibu wa Maandiko ya Allah,uharamu wake hauondolewi kwa sababu hiyo,uharamu upo pale pale,ila Allah hakina atukuzwe ametuelekeza wajaa wake namna ya kumtumia ktk masuala mengine
 
Una Aya ndani ya Qurani inayosema nyama ya Paka na Mbwa ni haramu kuliwa kama ilivyo kwa Nguruwe Kibudu ?

Ibandike hapa tujifunze.
Ipo mkuu, ila nami sijaikariri hivyo basi naomba mwenye kuifahamu aindike hapa kwa faida ya wengi.
 
Una Aya ndani ya Qurani inayosema nyama ya Paka na Mbwa ni haramu kuliwa kama ilivyo kwa Nguruwe Kibudu ?

Ibandike hapa tujifunze.
kuhusu makatazo ya kula paka na mbwa ni mafundisho ya mtume sio aya
Mtume ametufundisha kua tusile wanyama ambao wanapata chakula chao kwa kutumia kucha
mfano. simba,chui,paka na mbwa na wengineo
 
Miongoni mwa najisi kubwa mbili basi nguruwe ni moja wapo...

Hukumu ya najisi kubwa ni kwamba ni haramu kuikaribia kuigusa au kuila nk pia ni haramu kila kinachotokana kwayo (kinachotokana nayo)

Hili la figo ya nguruwe tujipe muda tu wenyewe mtakuja kukiri humu kuwa "tumepigwa kweupe"
 
Maandiko yamepiga marufuku ulaji wa nguruwe hayajapiga marufuku matumizi ya nguruwe katika tiba

Hiyo ni daawha na wote tuseme inshaallah
Maandiko yapi wewe 'scars' unayejinasibisha kila siku hapa kuwa ni atheist?
 
kuhusu makatazo ya kula paka na mbwa ni mafundisho ya mtume sio aya
Mtume ametufundisha kua tusile wanyama ambao wanapata chakula chao kwa kutumia kucha
mfano. simba,chui,paka na mbwa na wengineo
Kumbe hapo Quran iliacha,ikabidi mtume ndo ajitungie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…