Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
Inatakiwa tubadilike. Chai ya rangi ni utapeli.Wakenya hasa Nairoo, wanapenda sana mkate, siagi, na maziwa ya KCC. Kwa miaka niliyokaa Nairobi sikuwahi kunywa chai ya rangi. Kwa hilo majirani zetu nawapa kongole.
Inasound sawa, lakini viambatanisho vya uthibitisho viko wapi?Duka la kwanza la kuoka mikate kufunguliwa Afrika Mashariki lilikuwa Nairobi.
Mzungu aliyelifungua aliitwa McCarthy. McCarthy ndiyo likaja kuwa jina Mkate.