Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
JE, wajua au umepata kusimuliwa asili ya jina Kizimkazi? Mzee Said Ramadhan, mwanahistoria mahiri kutoka Kizimkazi, yupo hapa kukupa maana na asili ya Kizimkazi.
Kizimkazi jina linamanisha katika kujenga Msikiti walikuwepo Kiongozi wao alikuwa ni mtu anajitahdi kwa kazi wale wenyeji pale waka wanamsifu pamoja na yule mwezao kwa lugha ya kiswahili, Yule waliokuwa wakijenga majengo yule kiongozi jina lake hasa ni Kizi yani Mzee Kizi.
Sasa kwa vile alikuwa ni mtu harakati sana wa zile kazi wakatumia neno mkazi. Yani mkazi kuna maneno mawili kwa kiswahili ukiweke a kwenye mkaazi inamaana mtu wa pale lakini mkisema mkazi kwa a moja tu ni Haduhakin Hassani kwa lugha ya kigeni.
Sasa wakachanganya yale maneno mawili jina lake na kumpa sifa yake kwamba ni mtu wa harakati kwahiyo ni Kizimkazi. Sasa kwa lile eneo alikokuwepo Pwani apakuwa pakubwa sana wakatoa jina la yule Bwana ndiyo ikawa jina la Kizimkazi ni maneno mawili.