Je wajua biashara inayo fanyika shule ya msingi Diamond ambayo ni ya serikali

Je wajua biashara inayo fanyika shule ya msingi Diamond ambayo ni ya serikali

Luushu

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2012
Posts
816
Reaction score
477
wana jm poleni kwa majukumu,shule ya diamond ambayo inafundisha katika lugha ya kiingereza ni shida.Darasa moja watoto 170 hilo ni la 4 C ambolo nimelifanyia uchunguzi. A ni 300000 kwa mwaka,kuna kitu wanaita remidio 10000 kwa mwezi,kuna walimu wanagawa vi test 15000 kwa mwezi watoto 91% hawajui kusoma na kuandika na wanaelekea kufanya mtihani.Shule ina walimu zaidi ya 30 wakiume wawili na wote ni matajiri kwa uchunguzi uliofanywa

SWALI

Wizara ya elimu ipo hai na kama ipo hai inaona biashara inayofanyika diamond wakati watoto hawapati elimu stahiki
 
jungu. wewe pccb unjuaje utajiri wa mtu unfurahia umasikini
 
charlotte secondary school morogoro: Form 1, 2015 kuna kitu wanaiita remedial class ni 350,000/=, special project ni 200,000/=, mchango ujenzi ni 100,000/= acha ada na gharama nyingine =4,000,000 kwa mwaka.
 
Back
Top Bottom