Je, wajua dawa ya kuzuia kutapika?

Deo bony

Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
74
Reaction score
8
Chukua maganda ya malimao changanya na iliki paamoja na pilipili manga kisha weka mchanganyiko huu ktk sufuria yenye maji kiasi kisha chemsha kwa dakika 10 na dawa itakua tayari. JINSI YA KUTUMIA: Kikombe cha chai x 2 kwa siku hapo utakuwa umekamilisha tiba.
 
Asante nimeongezea nilikuwa najua ya kihospitali tu
 
Dawa nyingine ya kuzuia kutapika ni kunywa nusu dozi ya kuzuzia kuharisha . teh teh teh its a joke dont try it
 
Dawa Ya Kuzuia Kutapika Na Kuharisha

Wakati Mmoja Wetu Anapotapika Na Kuharisha Ikiwa Ni Mtu Mzima Au Mtoto Dawa Kubwa Inayozuia Ni Kukamua Ndimu Na Kutia Maji Kisha Utie Chumvi (juice Ya Ndimu Yenye Chumvi). Na Usinywe Yote Kwa Pamoja Uwe Unakunywa Kidogo Kidogo Na Uwe Unasita Kama Dakika Tena Unakunywa Tena Na Hivyo Hivyo. Huenda Mtu Atatapika Mara 3 Au 4 Na Kuharisha Lakini Kwa Kuendelea Kunywa Hiyo Juice Kila Baada Ya Dakika Atazuia Ishaallah Kwa Idhni Yake Allah.
 

Pia unaweza kutumia:

1. Mchanganyiko wa Curry Leaves, Limao na Asali au
2. Vitunguu Swaumu na Maziwa au
3. Tangawizi, Limao na Asali with Mint Leaves

More details: Mafanikio Na Afya Njema: Dawa Ya Kuzuia Kutapika - Natural Home Remedies for Vomiting
 

Uwa nakukubali sana MziziMkavu kwenye hii fani.

Msaada kidogo, sasa hii dawa mtu ambaye pia anaupungufu wa damu inamfaa?na kwa kuwa ni muda mrefu toka uandike haya je kuna option nyingine zaidi ya hii?naomba msaada hapo
 
Uwa nakukubali sana MziziMkavu kwenye hii fani.

Msaada kidogo, sasa hii dawa mtu ambaye pia anaupungufu wa damu inamfaa?na kwa kuwa ni muda mrefu toka uandike haya je kuna option nyingine zaidi ya hii?naomba msaada hapo
Kunywa chai ya Tangawizi na juisi ya machungwa pia itaweza kukusaidia.Mkuu Kapwela
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…