Je, wajua (Episode 1) Toka Youtube

Je, wajua (Episode 1) Toka Youtube

Joined
Jun 14, 2016
Posts
40
Reaction score
38
Orodha hii ya video zisizopendwa sana za YouTube ina video za juu 40 zilizo na zisizopendwa zaidi wakati wote, zilizopatikana kwenye chati za YouTube.

Hesabu za nyimbo zisiyopendezwa inachukuliwa moja kwa moja kutoka ukurasa wa video yenyewe.

Wimbo wa muziki wa Justin Bieber "Baby" umesimama kama video isiyopendwa sana kwenye YouTube mwaka 2011, na haupendwi na watu milioni 1.17, Ikifatiwa na nyimbo "Friday " ya Rebecca Black haupendwi na watu milioni 1.2 4

wimbo wa justine "Baby " aliingia kitabu cha Guinness World Records kama video isiyopendezwa zaidi kwenye YouTube na kwenye mtandao hadi mwaka wa 2013.

Kuanzia Novemba 2017, Bieber ndiye mtu pekee aliye na video tano kwenye 40 juu, wakati Nicki Minaj na RiceGum wanao nne


4b054f5b24840209f6dd20b94282cfc5.jpg
 
Back
Top Bottom