Je, wajua gharama za upimaji wa vinasaba (DNA) nchini Tanzania?

Je, wajua gharama za upimaji wa vinasaba (DNA) nchini Tanzania?

Rahma Salum

Member
Joined
Sep 7, 2020
Posts
30
Reaction score
59
Gharama za upimaji wa vinasaba kwa Tanzania ni shilingi laki 1 kwa sampuli ya mtu mmoja.

Hii inamaanisha kuwa kwa sampuli za watu 3, yaani baba, mama na mtoto gharama itakuwa jumla ya shilingi laki 3.
 
Gharama za upimaji wa vinasaba kwa Tanzania ni shilingi laki 1 kwa sampuli ya mtu mmoja.

Hii inamaanisha kuwa kwa sampuli za watu 3, yaani baba, mama na mtoto gharama itakuwa jumla ya shilingi laki 3.
Hivi hii ndio mwanzoni ilikua sijui mamilion kadhaa sio? So imepungua sana eeh.
Ila mlolongo wake c mkubwa kidogo sijui mkaape na nini na nini.
All in all don't try this at home
 
sasa mama anapima DNA ili iweje DNA ni mtoto dhidi ya Baba 2 wanaogombania mtoto ndipo JUmla huja laki 3,hata hivyo DNA Tz inafanyika kwenye Maabara ya Taifa tu napo majibu yao sio uhakika.

ukitaka DNA nzuri nedna kenya ambapo hadi hopitali za private zinafanya na gharama zina range kuanzia 250K-900K inategemeana na hitaji lako na aina ya DNA
 
Gharama za upimaji wa vinasaba kwa Tanzania ni shilingi laki 1 kwa sampuli ya mtu mmoja.

Hii inamaanisha kuwa kwa sampuli za watu 3, yaani baba, mama na mtoto gharama itakuwa jumla ya shilingi laki 3
 
Asante Rahma, na ni wapi DNA inafanyika na je ni process gani zinatakiwa kufanywa, je inawezekana kufanya DNA hata kama baba wa mtoto amefariki? Nani atachukuliwa sample kuthibitisha ni kweli au la
 
Back
Top Bottom