Hivi hii ndio mwanzoni ilikua sijui mamilion kadhaa sio? So imepungua sana eeh.
Ila mlolongo wake c mkubwa kidogo sijui mkaape na nini na nini.
All in all don't try this at home
sasa mama anapima DNA ili iweje DNA ni mtoto dhidi ya Baba 2 wanaogombania mtoto ndipo JUmla huja laki 3,hata hivyo DNA Tz inafanyika kwenye Maabara ya Taifa tu napo majibu yao sio uhakika.
ukitaka DNA nzuri nedna kenya ambapo hadi hopitali za private zinafanya na gharama zina range kuanzia 250K-900K inategemeana na hitaji lako na aina ya DNA
Asante Rahma, na ni wapi DNA inafanyika na je ni process gani zinatakiwa kufanywa, je inawezekana kufanya DNA hata kama baba wa mtoto amefariki? Nani atachukuliwa sample kuthibitisha ni kweli au la