Je, wajua hatimiliki ya kazi za kisanii mwisho wa kuisha muda wake ni miaka 100

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Kama kuna kazi za wasanii zilizofanyika miaka mwaka 1920 basi hati miliki zake zilishakwisha mda wake.

Kazi inayofikisha miaka 100 inakuwa aina tena hati miliki na ukirudia uwezi kushtakiwa wala kufungwa.ili mradi ifikishe miaka 100.

IMG_0778.jpg
 
View attachment 2480560
Mkuu hii nadhani umeteleza ama kujichanganya. Kwa mujibu wa Berne convention ni kuwa Copyright inalindwa kwa maisha yote ya uhai wa creator plus 40yrs baada ya kifo lakini kuna some rights within hazitakiwi kubadilika hadi dahari hata iweje mfano moral rights.
 
sijakosea ila hipo hiyo sheria ndio mfano nitakupa kama kuna nyimbo ilitoka 1920 kushuka chini ukiingia mfano shazam kujua ni wimbo gani itakataa sababu aina hati miliki tena mda umekwisha.

Ingia wikipedia fatilia vizuri ili jambo na lipo kisheria kabisa
 
Back
Top Bottom