Je, wajua haya kuhusu Marais wa Marekani?

Luqman mohamedy

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2016
Posts
899
Reaction score
1,231
MAMBO ADIMU KABISA KUWAHUSU MARAIS HAWA WA MAREKANI, HAKIKA YANASTAAJABISHA.
_______________________________________________
[emoji116][emoji116]
_________________________
1. GROVER CLEVELAND.
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
Huyu bwana kabla ya kuwa Rais alikuwa akifanya kazi ya unyongaji kwa wahukumiwa waliohukumiwa hukumu ya kifo na mahakama. Pia ni rais aliyeitawala nchi kwa mihula miwili isiyofuatana yaani mwaka 1885-1889 na mwaka 1893-1897.
_____________________
2. JOHN F.KENNEDY.
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
Huyu ndiye Rais wa kwanza wa Marekani kuzaliwa karne ya 20, ndiye rais pekee wa Marekani kuwa muumini wa dhehebu la katoliki na ndiye rais wa US mwenye rekodi ya kuwa na michepuko mingi zaidi.
___________________________________
3. JOHN ADAMS, THOMAS
JEFFERSON, na JAMES MONROE.
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
Marais hawa wote watatu walifariki tarehe 4 July ambayo ndiyo siku ya uhuru wa nchi hiyo. Pia rais Calvin Coolidge alizaliwa tarehe hiyo ya 4 July.
_____________________
4. JAMES GARFIELD.
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
Rais huyu alikuwa na uwezo wa ajabu kwani alikuwa na uwezo wa kuandika kwa mikono yote miwili, kwa lugha mbili tofauti [Kilatini na Kigiriki] halafu kwa wakati mmoja.
______________________________________________
5. ABRAHAM LINCOLN, JAMES GARFIELD, na WILLIAM MCKINLEY.
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
Mauaji ya marais hawa wote watatu yalishuhudiwa na mtoto wa kwanza wa ABRAHAM LINCOLN aliyeitwa ROBERT LINCOLN.
_________________________
6. WARREN G. HARDING.
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
Rais huyu alikuwa na vitimbi vya kustaajabisha kwani alikuwa ni mcheza kamari wa kupindukia. Aliwahi ku-bet karibu vitu vyote vya thamani vya White House na kupoteza vyote.
___________________________
7. THEODORE ROOSEVELT.
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
Wakati akiwa kwenye kampeni za kuwania urais kwa mara ya pili alipigwa risasi, lakini aliendelea kuhutubia hadi mwisho wa mkutano wa kampeni huku risasi ikiwa bado ipo mwilini.
_______________________
8. ANDREW JOHNSON.
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
Huyu alikuwa fundi cherehani wa kwanza kuwa Rais, kwani hata Suti alizovaa alizishona mwenyewe.
______________________
9. JAMES BUCHANAN.
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
Huyu bwana alikuwa Rais Bachelor (hakuwa na Mke), kwa hiyo kwenye utawala wake nchi haikuwa na First lady.
_________________
10. JOHN TYLER.
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
Ndiye Rais wa Marekani aliyekuwa na watoto wengi zaidi. Alikuwa na watoto nane kwa mke wa kwanza na watoto saba kwa mke wa pili. Pia ndiye Rais pekee wa Marekani kuoa akiwa ofisini [alipooa kwa mara ya pili].
_______________________
11. ZACHARY TAYLOR.
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
Huyu alikuwa Rais wa Marekani kwa muda usiozidi mwaka mmoja na nusu. Ila huyu bwana chakushangaza alifariki kwa sababu ya ugonjwa wa kipindupindu.
______________________________________
12.GEORGE HERBERT WALKER BUSH.
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
Ndiye Rais pekee wa Marekani aliyekuwa na majina manne. Pia kipindi Alipoitembelea Japani January 8 1992, wakiwa kwenye chakula cha jioni alimtapikia aliyekuwa waziri mkuu wa Japani KIICHI MIYAZAWA kisha kupoteza fahamu. Tukio la BUSH kutapika liliwapa wajapani msamiati mpya kwenye lugha yao ''BUSHU-SURU'' ukiwa na maana ya "Bush mtapikaji hovyo hadharani".
___________________________
13. GEORGE WASHINGTON.
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
Huyu baada ya kuwa rais hakuwa na pesa za kugharamia safari ya kuapishwa kwake. Hivyo alimkopa jirani yake dola mia sita ili aweze kuhudhuria kuapishwa kwake pamoja na kujilipia madeni.
__________________________________________
#JE NI NAMBA IPI IMEKUSTAAJABISHA..!!
==================================
 
13 imetisha sana kwa bongo / Afrika ukiwa raisi maisha yako mtelezo kukopa kwa mango bye bye
 
14. BARACK OBAMA.
Huyu ni rais wa kwanza mwenye asili ya watu wa Afrika. Baba yake Hussein Obama alikua mjaluo kutoka nchini KenyaNyanza Provence( leo hii kaunt ya Nyanza). Wakati wa utawala wake atakumbukwa kwa mafanikio ya kumnasa gaidi namba moja duniani Osama Bin Laden

Huyo aliyefariki kwa kipindupindu atakuwa country~mate wetu huyo.
 
bora aliyekufa kwa kipindupindu kuliko aliyekopa pesa asafiri kwenda kuapishwa. inawezekana aliazima hadi suti na nguo za ndani yule.
 
Back
Top Bottom