Hell is real
JF-Expert Member
- Aug 14, 2021
- 204
- 364
Habari wakuu !!
Je, unajua kuwa mji wa mbinguni kuna maghorofa yenye urefu wa mile 500,000 sawa na kilometa 804,450????
Ufunuo wa Yohana 21:16 Na ule mji ni wa mraba, na marefu yake sawasawa na mapana yake. Akaupima mji kwa ule mwanzi; ulikuwa kama maili elfu na mia tano; marefu yake na mapana yake na kwenda juu kwake ni sawasawa. Yohana 21:23 Na mji ule hauhitaji jua wala mwezi kuuangaza, kwa maana utukufu wa Mungu huutia nuru, na taa yake ni Mwana-Kondoo. Ufunuo wa Yohana 21:24 Na mataifa watatembea katika nuru yake.
Na wafalme wa nchi huleta utukufu wao ndani yake. Ufunuo wa Yohana 21:25 Na milango yake haitafungwa kamwe mchana; kwa maana humo hamna usiku. Ufunuo wa Yohana 21:27 Na ndani yake hakitaingia kamwe cho chote kilicho kinyonge, wala yeye afanyaye machukizo na uongo, bali wale walioandikwa katika kitabu cha uzima cha Mwana-Kondoo.