Je wajua historia ya sanamu la bisimini?

bomouwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
1,149
Reaction score
800
Habari wanajamvi?
Mie shauku yangu kuuubwa naombeni kufahamu
1.Nani mjenzi wa sanamu lile?
2.Dhima yake ilikua ni nini?
3'Kwanini liliwekwa mahala pale na si kwengineko?
Nawasilisha naomba wajuzi tafadhali mnijuze...
 
Habari wanajamvi?
Mie shauku yangu kuuubwa naombeni kufahamu
1.Nani mjenzi wa sanamu lile?
2.Dhima yake ilikua ni nini?
3'Kwanini liliwekwa mahala pale na si kwengineko?
Nawasilisha naomba wajuzi tafadhali mnijuze...
Ni sanamu ya nini hiyo mkuu na iko nchi gani??
 
Ngonja waje wajanja wa zamani wazee wasasa watatujuza
 
Babu yangu yule aligeuza Bomu lililoelekezwa Tanzania... baada ya jitihada nyingi za kulitegua vitani kushindikana babu alitumia sekunde chache kuligeuzia kwa adui... na kuokoa maisha ya watanzania wengi haswa ukoo wenu nadhani usingekuwepo leo hii ukiliona Sanamu lile liheshimu sana... ni Mwokozi wako.. Kwa lugha ya kigiriki huitwa Christo yaani Mwokozi.
 
Hee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…