Je wajua ? Injini za ndege aina ya jet ili kufanya kazi lazima itumie jenereta

Je wajua ? Injini za ndege aina ya jet ili kufanya kazi lazima itumie jenereta

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Watu wengi tumekuwa tukijiuliza kuhusu ndege zenye mfumo wa injini ya jet.
Katika mada nilizozitoa nilieleza kuhusu aina za injini zinatumika kwenye ndege.

Mfumo wa injini ya jet ni tofauti kabisa kwenye utendaji sababu zinazofanya kuwa tofauti ni kwamba ili kuzungusha feni na inaitaji ipatikane jeneretor ?.

Jeneretor hipo wapi?

Jenerator inakuwepo nyuma ya ndege na ndiyo jenerator inayotumika kuzalisha umeme ili kuwezesha injini za jet.

Injini ya jet iwezi kutumia pistoni kama tulivozoea magari ila yenyewe inategemea kuzungushwa kama feni za kawaida zinazotumia umeme.

Mfumo wake ni kiwango cha juu kwenye uzungushaji na ndio upelekea kuzungusha injini zote.

Tutaendelea

engineer Avation

images%20(83).jpg
images%20(82).jpg
 
[emoji848] mechanism ya aina gani hiyo!? Kua lazima generator iwashwe kwanza, ndio huo umeme uwashie engine, ndio ianze kutumia mafuta!!? Mfumo wa umeme kwenye ndege unategemea hiyo generator!!? Hiyo generator nayo inatumia mafuta hayo hayo ya ndege au!!? Ina altonator ya kufulia umeme!!!?
 
Back
Top Bottom