Je, wajua iwapo utatoa jino lako utakuwa umeongeza gharama za meno bandia?

Je, wajua iwapo utatoa jino lako utakuwa umeongeza gharama za meno bandia?

Zirconium

Member
Joined
Feb 1, 2025
Posts
28
Reaction score
46
Meno Yaliyotoboka yanaweza kusafishwa vizuri na kujazwa Dawa maalumu( kuziba / Restoration) na ukaendelea kuyatumia Kama kawaida pasipo na maumivu zaidi ya Miaka 15

Faida Za Kuziba Meno Yaliyotoboka
. Utalinda meno Mengine yasiharibike
. Utatafuna Chakula Vizuri
. Muonekano mpya
. Itasaidia kujiamini na kuwa mtu Mwenye Furaha
.Utazuia Meno yasiendelee kutoboka


Tunatoa Huduma Za Kinywa na Meno katına office zetu za
Kibaha - Pwani ( Kila Siku )
Magomeni - Dar es salaam ( Appointment Tu )
📞0658950085
Gharama ya kuziba jino ni Tsh 40,000/= kwa jino Unaweza tazama Picha kabla na baada ya kuziba meno Karibuni tuboreshe Afya ya Kinywa na meno
IMG_3431.jpeg
IMG_3432.jpeg
 
Back
Top Bottom