Mributz
Senior Member
- Aug 29, 2022
- 177
- 527
Je?l, umekuwa sehemu ya watu ambao wana kerwa na Email za matangazo kwenye G-Mail yako.
Pole kwa hilo na tuwie radhi kwa kuchelewa kukufahamisha namna ya kuyaondoa, Fanya hivi
Ingia kwenye G-mail yako alafu juu kabisa sehemu ya ''search'' andika neno unsubscribe ukishaandika, bonyeza kitufe cha ''Enter''
Utaona ''mail'' za matangazo na ''promotion'' zimetokea nyingini, utakachofanya upande wako wa kushoto kuna ki-boksi cha kuchagua kitiki utachagua ALL alafu utabonyeza Delete.
Utaona zimejifuta lakini iwapo ziko nyingi basi zitajifuta kwenye mafungu ya mail 50, kwa njia hiyo rahisi utakuwa umezifuta.
Kuhusu G-Mail tutaendelea kukufahamisha mbinu mbalimbali kila uchwao.