uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Mla ni mla leo mla jana kalani?Goal keeper: 1.kasper schmeichel
2.Christian fuchs
4.Robert huth
3.danny simpson
5 Wes Morgan
6.ngolo kante
8 drink water
7. Mahrez
11.albrighton
9. Vardy
10 .okazaki
Kwa hiki kikosi cha leicester city kilichobeba ubingwa msimu wa 2015/2016 ,ni wachezaji wawili tu wa sasa wa Arsenal wangepata nafasi ya kuanza Partey na sako
Na ili kuchukua ubingwa leicester city alichukua point 4 kwa manchester city
Sasa humu jukwaani kuna vijana wanazuka from nowhere wanapiga kelele kuwa Arsenal ina kikosi bora
Arsenal bado haina hadhi ya kuchukua ubingwa
Na ataumia sana kwani Arsenal ni mabingwa tayariHivi wewe jamaa unapata usingizi kweli?
Tukisikia umejinyonga kisa Arsenal sitashangaa kabisa!
Yaani umeandika kwa wivu wa hali ya juu sana.Goal keeper: 1.kasper schmeichel
2.Christian fuchs
4.Robert huth
3.danny simpson
5 Wes Morgan
6.ngolo kante
8 drink water
7. Mahrez
11.albrighton
9. Vardy
10 .okazaki
Kwa hiki kikosi cha leicester city kilichobeba ubingwa msimu wa 2015/2016 ,ni wachezaji wawili tu wa sasa wa Arsenal wangepata nafasi ya kuanza Partey na sako
Na ili kuchukua ubingwa leicester city alichukua point 4 kwa manchester city
Sasa humu jukwaani kuna vijana wanazuka from nowhere wanapiga kelele kuwa Arsenal ina kikosi bora
Arsenal bado haina hadhi ya kuchukua ubingwa
Yaani umeandika kwa wivu wa hali ya juu sana.
Huyo Leisester msimu anachukua ubingwa alipigwa nje ndani na Arsenal tena akipigwa 5-2 akiwa nyumbani. Kwa kifupi hapo Ngolo Kante pekee ndio angeweza kupata nafasi Arsenal tena akianzai benchi.
Arsenal kilichomponza ni mechi za UEFA alipangwa kundi gumu lenye Barcelona na Bayern ile ya kina Robben. Kuna mechi Arsenal Alipigwa 5g5 na Bayern.
Kila enzi zina mashujaa wake. Yaani unalinganisha timu kwa kuangalia kikosi cha miaka 7 nyuma?
Sasa hao Leisester hapo hamna hata mmoja angeweza kuingia INVINCIBLE squad ya Arsenal
- Ashley Cole. Martin Keown. Pascal Cygan. Gaël Clichy. Sol Campbell. Kolo Touré Lauren.
- Patrick Vieira (Captain) Robert Pirès. Frederick Ljungberg. Ray Parlour. Edu. Gilberto Silva.
- José Antonio Reyes. Dennis Bergkamp. Sylvain Wiltord. Thierry Henry. Nwankwo Kanu. Jérémie Aliadière.
Alifungwa game mbili tu na zote na asenoGoal keeper: 1.kasper schmeichel
2.Christian fuchs
4.Robert huth
3.danny simpson
5 Wes Morgan
6.ngolo kante
8 drink water
7. Mahrez
11.albrighton
9. Vardy
10 .okazaki
Kwa hiki kikosi cha leicester city kilichobeba ubingwa msimu wa 2015/2016 ,ni wachezaji wawili tu wa sasa wa Arsenal wangepata nafasi ya kuanza Partey na sako
Na ili kuchukua ubingwa leicester city alichukua point 4 kwa manchester city
Sasa humu jukwaani kuna vijana wanazuka from nowhere wanapiga kelele kuwa Arsenal ina kikosi bora
Arsenal bado haina hadhi ya kuchukua ubingwa
na mimi nimezungumzia kikosi cha Arsenal 2015/2016 kilichompiga huyo Leicester match zote. Hakuna mchezaji wa Leicester angepata namba pale Arsenal.Nazungumzia kikosi cha leicester city 2015/2016
Na hawa Arsenal wa 2022/2023
Leicester was better squad than current Arsenal squad
na mimi nimezungumzia kikosi cha Arsenal 2015/2016 kilichompiga huyo Leicester match zote. Hakuna mchezaji wa Leicester angepata namba pale Arsenal.
Hivi ni kwanini wasio na akili wote wanaichukia Arsenal?Goal keeper: 1.kasper schmeichel
2.Christian fuchs
4.Robert huth
3.danny simpson
5 Wes Morgan
6.ngolo kante
8 drink water
7. Mahrez
11.albrighton
9. Vardy
10 .okazaki
Kwa hiki kikosi cha leicester city kilichobeba ubingwa msimu wa 2015/2016 ,ni wachezaji wawili tu wa sasa wa Arsenal wangepata nafasi ya kuanza Partey na sako
Na ili kuchukua ubingwa leicester city alichukua point 4 kwa manchester city
Sasa humu jukwaani kuna vijana wanazuka from nowhere wanapiga kelele kuwa Arsenal ina kikosi bora
Arsenal bado haina hadhi ya kuchukua ubingwa
Mtoa mada wewe Ni boya kabisa usiyejua mpira hata kidogo.
Kwa taarifa yako ile season ambao Leicester City walitwaa ubingwa wa ligi Arsenal ndio timu pekee uliyofanikiwa kuifunga hyo Leicester City nje na ndani kuliko timu zingine zote.Yaani Arsenal ilijizolea point zote 6 kutoka kwa Leicester.
Wewe Ni bonge la boya kweli.
Za kazi ganiHuna akili
Hivi ni kwanini wasio na akili wote wanaichukia Arsenal?
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Za kazi gani
Sina uhitaji nazoUngekuwa na akili ungejua