sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,639
- 5,767
Katika uchambuzi, imeonesha kua biblia ndio kitabu kinachoongoza kua na maandiko yenye ukatili zaidi kuliko kitabu kingine chochote cha dini.
Mungu wa kwenye biblia amekua akiamrisha mambo ya ukatili mkali.
moja ya maandiko ambayo yanatumiwa hata na mayahudi wa sasa ni ule wa Samwel, akimalisha kuawa hata wasio na hatia.
1 Samweli akamwambia Sauli, “Mimi ndiye ambaye Bwana alinituma nikutie mafuta uwe mfalme juu ya watu wake Israeli, basi sasa sikiliza ujumbe kutoka kwa Bwana. 2 Hili ndilo Bwana Mwenye Nguvu Zote asemalo: ‘Nitawaadhibu Waamaleki kwa kile walichowatendea Israeli walipowavizia wakati walipanda kutoka Misri. 3 Basi sasa nenda ukawashambulie Waamaleki na kuwaangamiza kabisa pamoja na kila kitu kilicho mali yao. Usiwahurumie; waue wanaume na wanawake, watoto na wanyonyao, ngʼombe na kondoo, ngamia na punda.’ ”
Mungu wa kwenye biblia anaupendeleo sana kwa wayahudi, huku wakristo wakiamini jamii fulan (Palastine) ni lazima wauwawe ili maandiko yatimie.
swali, kwanini Mungu wa kwenye biblia anataka binadamu wasio na hatia wateseke kwa kutimia maandiko?