Je, wajua kufanya mapenzi hadharani inaruhusiwa Uholanzi, tena kweupe sio gizani?

Echazzy

Member
Joined
Jan 20, 2018
Posts
65
Reaction score
67
KUFANYA MAPENZI HADHARANI INA RUHUSIWA KATIKA JIJI LA AMSTERDAM katika nchi ya Uholanzi.

[emoji117]Ndio unaruhusiwa kufanya mapenzi hadharani ukiwa katika jiji la Amsterdam Nchini Uholanzi ISIPOKUWA ni kwenye maeneo maalumu tu nazo ni maeneo ya bustani.

Moja ya bustani maarufu nchini Uholanzi ni Vondelpark ambapo nao wanaruhusu kufanya mapenzi hadharani isipokuwa kwa masharti yafuatayo[emoji116]

1) Ukiwa unafanya mapenzi usiwe unapiga makelele kiasi cha kuwa kero kwa wengine

2) Hairuhusiwi kufanya mapenzi wakati wa usiku.

3) Usije ukaaacha baadhi ya vitu unavyovitumia wakati wa kufanya mapenzi. Kwa mfano Condoms.

4) Usifanye mapenzi maeneo ya kuchezea watoto

#MzeeWaVituAdimu [emoji124]

FB_IMG_1634555187596.jpg
 
View attachment 1978548
Kama haizui upatikanaji wa Maendeleo wa wananchi wa Nchi hiyo na upatikanaji wa huduma Muhimu za kijamii Basi sioni shida juu ya sheria hiyo. Huko kwenu Afrika ambako hata kupiga busu hadharani wanachukulia Kama Jinai ndiko kunaongoza kwa watu wenye Umasikini Mkubwa ambapo Wananchi hawawezi hata kuafford Mlo mmoja.
 
Ogaaah! Wewe sio muafrika??
 
Hii iruhusiwe bongo mnaweza shuhudia maajabu ambayo hamjawai hata kusikia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mimi nilivuta bangi barabarani nilinunua ile flavor ya white widow hatari sana. Maeneo ya red light pale Amsterdam nimefika kuna kila eneo na chaguo lake. Nilipita kichochoro kimoja niliona mtu kamya[emoji23][emoji23]

Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Jiulize Kwanini wazungu mnyama wanaempenda kuliko wanyama wote ni Mbwa.
 
Kama haizui upatikanaji wa Maendeleo wa wananchi wa Nchi hiyo na upatikanaji wa huduma Muhimu za kijamii Basi sioni shida juu ya sheria hiyo. Huko kwenu Afrika ambako hata kupiga busu hadharani wanachukulia Kama Jinai ndiko kunaongoza kwa watu wenye Umasikini Mkubwa ambapo Wananchi hawawezi hata kuafford Mlo mmoja.
Mkuu:
Huku kwetu watu watakuwa wanashinda kwenye hayo mabustani, na kupelekea kuongezeka kwa umasikini.
 
Back
Top Bottom