Je wajua kuna tofauti ya demu na mke?

Dismas2020

New Member
Joined
May 2, 2020
Posts
1
Reaction score
0
Wakati vijana wengi tunakimbiza umri humu tukisema tutaoa mwakani lazima tujiulize tofauti ya demu na mke.Kama unaleta demu wako ndani kwako halafu chakula mnaagiza kilichopikwa na mwanamme mwenzio kama vile chipsi uyo msichana achana nae sio mke.Kuwa na mwanamke mnaeshindana kunywa bia hakika hakufai jiulize mara mbili,kua na mwanamke anatembea maungo yote yapo nje uyo sio mke.Kuwa na mwanamke anajiposti mara nane au kila siku anaposti picha mtandaoni uyo hafai chukua hatua mara moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…