Kila Rais anaamua kadiri ya utashi wake juu ya kutekeleza hukumu ya kifo. wale wa Nyerere walifahamika: Mwamwindi, yule aliyemuua mkuu wa mkoa Dr. Kleruu na Mbongo mwenye asili ya Kihindi, aliyemuua mkewe kwa kutengeneza ajali ili alipwe Bima. wa Mwinyi inadaiwa walinyongwa kimyakimya. Mkapa hakuthubutu. cjui Dr. JPM itakuwaje maana mpaka sasa watu waliohukumiwa na mahakama kunyongwa inadaiwa wamefikia zaidi ya 400 na wanangoja saini ya Prezidaa.