Je wajua kuwa tanzania enzi hizo ilishawahi kuwa nchi ya kwa upelelezi duniani?

Je wajua kuwa tanzania enzi hizo ilishawahi kuwa nchi ya kwa upelelezi duniani?

BabaKasheshe

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2012
Posts
211
Reaction score
45
nImeikuta hii kwa moja ya blogs leo, nini maoni yako mdau.....






Ndugu wana bodi,wakati nikiwa mdogo enzi za mwalimu kuliwahi kuwa na uvumi kuwa Tanzania ilikuwa na idara nzuri sana ya TISS hata ikawa nchi ya Tatu kwa upelelezi duniani.

Kwa upande mmoja naweza kuona ukweli wa hili nikijaribu kulinganisha TISS ya enzi za Nyerere na TISS ya ezi hizi,nakumbuka wapelelezi wa enzi hizo wengine waliweza hata kuwa kama vichaa kwa kuvaa nguo chafu ili waweze kukamilisha upelelezi na wakafanikiwa hata kuwakamata makaburu waliokuwa wanakuja nchini kutoka Afrika kusini kwa njia za pori,lakini siku hizi wasomali wanaingia nchini na kutoka wachache ndo kuwa wanakamatwa tena na polisi kwa kupewa taarifa na raia wema na sio TISS.
 
Usidanganyike! Kwani unadhani hata sasa haina wapelelezi wazuri? Wapo sana tu. Angalia walivyowapata wauaji wa Barlow. Hata Kova aliwahi kusema kama wakitaka hakuna kinachowashinda. Tatizo ni kwamba watajikamataje wao wenyewe kama kweli wanahusika kama wanavyotuhumiwa?
 
Unawezaje kujikamata mwenyewe? Labda wasalitiane
 
Back
Top Bottom