Je wajua kuwa wachezaji wa mpira, basketball au mchezo wowote wana IQ na photographic memory?

al-bauly

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2014
Posts
343
Reaction score
108
Miongoni mwa wachezaji wenye uwezo mkubwa kama LeBron James wanaweza kukumbuka matukio yote ya kwenye mechi wanazocheza?
Angalia hapa kupitia YouTube jinis LeBron James anavostaajabisha watu kwa kumbukumbu sahihi

Hakuna cha ajabu natena umetumia tukio moja tu kufanya conclusion. Ni hivi: Mtu yoyote lazima nakuwa na kumbukumbu nzuri sana ya kazi yake anayoifanya. Ukiona fundi saa anafungua saa huwezi kuamini kama atakumbuka kurudisha kila kifaa kwenye nafasi yake. Hata ombaomba ana kumbukumbu nzuri sana ya watu matukio yake ya kila siku. Practice makes perfect!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…