TRIPLE H
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 651
- 349
Wadau,
Kuna nguvu fulani katika mwili wa binadamu zenye kumvuta mtu kwa namna ambayo mtu huyo anayevutwa lazima avutike atake asitake. Ni mithili ya zile alizo nazo chatu kwa mbwa. Wengi hufikiri ni harufu fulani, lkn kimsingi si harufu kama harufu ni certain powers within chatu zinazomtoka na kumu-attack mbwa kwa jinsi ya harufu!
Hata kwa mwanamke kuna certain powers zinakaa kwenye maziwa yake na zinaweza kumu-attack mwanaume yeyote hata kama ni mtawa. Ndio maana kwa asili yake, maziwa (au matiti) hufichwa/huhifadhiwa yasiwe public kwa kila mtu. Sasa kwa kuwa wanawake wengi hawajui nguvu hizi, siku hizi wanajiachia na hivyo kuwa-attack wanaume. Zile nguvu zikikuingia wewe mwanaume lazima uvutike 'kwenda machinjioni' wewe mwenyewe tena bila shuruti, kama mbwa ajipelekavyo kwa chatu yeye mwenyewe, bila shuruti, ili amezwe mzima mzima!