Kama kweli umekuja talii Zanzibar kesho panda boti uje prisona island utanikuta hapa, nakuja namba pmKwa msiofahamu hapa Zanzibar bar hazijatapakaa mitaani kama huko bara. Vileo vinauzwa kwenye kambi za jeshi na kwenye mesi za polisi. Mitaani hutaona bia.
Huku Zanzibar hakuna pahala wanaouza kitimoto. Na pia hakuna guest house.
Sasa basi, wakati huko bara, asilimia kubwa ya appointments huwa zinatekelwzwa kwenye mabaa mabapo kuna kinywa, kula na kulewa. Na vyote hivi vinahitaji fedha.
Huku Zanzibar asilimia kubwa ya appointments zao hufanyika na kutekelezwa Daraja bovu, uwanja wa Aman na Forodhani. Hakuna kula, sana sana mtanunua urojo wa elfu 3-5 tu.
Wewe huishi zanzibar tuulize sisi tuliopo hukuKwa msiofahamu hapa Zanzibar bar hazijatapakaa mitaani kama huko bara. Vileo vinauzwa kwenye kambi za jeshi na kwenye mesi za polisi. Mitaani hutaona bia.
Huku Zanzibar hakuna pahala wanaouza kitimoto. Na pia hakuna guest house.
Sasa basi, wakati huko bara, asilimia kubwa ya appointments huwa zinatekelwzwa kwenye mabaa mabapo kuna kinywa, kula na kulewa. Na vyote hivi vinahitaji fedha.
Huku Zanzibar asilimia kubwa ya appointments zao hufanyika na kutekelezwa Daraja bovu, uwanja wa Aman na Forodhani. Hakuna kula, sana sana mtanunua urojo wa elfu 3-5 tu.
Mna shida sana wandugu...mnawezaje kuishi maisha ya kijima namna hiyo?Kwa msiofahamu hapa Zanzibar bar hazijatapakaa mitaani kama huko bara. Vileo vinauzwa kwenye kambi za jeshi na kwenye mesi za polisi. Mitaani hutaona bia.