Car4Sale Je, wajua kwamba unaweza kujipatia bmw x3 kwa milioni 19?

Car4Sale Je, wajua kwamba unaweza kujipatia bmw x3 kwa milioni 19?

rasachri

Senior Member
Joined
Apr 8, 2011
Posts
145
Reaction score
35
JE WAJUA KWAMBA UNAWEZA KUJIPATIA BMW X3 KWA MILIONI 19?

Salam kutoka Kimomwe Motors (T) Ltd- Waagizaji wa magari.

Kwa kushirikiana na makampuni zaidi ya 12 ya kijapan Kimomwe Motors inakuletea BMW X3 zenye ubora kwa gharama nafuu kiasi cha Shilingi 19,000,000.

BMW X3 ni gari ngumu kuanzia kwenye injini, bodi, vupuli vyake na zaidi ni kwamba gari hii imewekewa mfumo mzuri wa usalama iwapo katika mwendo kasi (halipinduki kirahisi sababu tairi zake huchanuka liwapo kwenye mwendo kasi, haliyumbi yumbi liwapo kwenye speed kubwa, air bags za mbele na nyuma)

Vipuli vyake hupatikana kwa gharama ya juu kidogo ikilinganishwa na Toyota Harrier, lakini uzuri ni kwamba vipuli vyake hivyo vinadum kwa mda mrefu....kuna shuhuda mmoja aliyeimiliki gari ya aina hii aliitumia kwa miaka 5 ndipo bush zikaisha na shock up hivyo.

Kwa msaada na maelezo zaidi, piga sim namba 0746267740 au tembelea ofisi zetu zilizopo Magomeni Mapipa.
26.jpg
15 (2).jpg
12 (4).jpg
11 (2).jpg
10 (3).jpg
09 (4).jpg
08 (2).jpg
07 (3).jpg
06 (3).jpg
05 (3).jpg
04 (3).jpg
03 (3).jpg
 
Back
Top Bottom