Je, wajua kwanini Bidhaa za Ngozi zina hadhi?

Je, wajua kwanini Bidhaa za Ngozi zina hadhi?

FayFashionTz

Member
Joined
Jan 30, 2023
Posts
5
Reaction score
12
Faida kubwa ya kuwekeza katika kutumia bidhaa za Ngozi, ni kwasababu zinadumu zaidi ya bidhaa za material nyingine. Vile vile zinaongeza hadhi Kwa mtumiaji na kumuweka ktk Mtu wa viwango na ubora tofauti na akiwa na bidhaa za aina nyingine.

Kwa kingereza wanasema "The biggest benefit is that real leather bags last much longer than any other material. Another benefit is that they add sophistication and elegance to their wearers.

They also provide comfort, style, durability, and versatility.". Karibu Fay Fashion Tanzania Kwa bidhaa Bora za Ngozi Made in Tanzania. Tupo Posta mtaa wa Samora jengo la NHC House. Simu 0738 926 076.
 
Kuwa na bidhaa ya ngozi ni ushahidi kwamba kuna mnyama ameuawa na wewe unaona fahari kwa uhai huo kutolewa
 
Isituchoshe Jana Umeweka Tangazo Kama Dalali Umeshindwa Kuweka Bei, Picture, Ulipo Zaidi Unaweka Link. Nenda Kajitafakari Chap
 
Bag imara za Ngozi halisi ya Ng'ombe wetu Tanzania, zimetengenezwa kwa ujuzi wa Hali ya juu. Kama hizi ktk picha zinapatikana kwa TSh 250,000/- Hadi 300,000/- kutegemea na Idadi na Size. Karibu Fay Fashion Tanzania Samora Avenue NHC House. Mawasiliano 0738 926 076.

IMG_20230201_110025.jpg
 
Kuna mambo mengine hata kama unakua umenuna inakubidi ucheke mtu anauza begi 300k au 250 alafu unauliza linakua na laptop sasa si angesema[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Mkuu kafungue store Masaki, Mikocheni, Mbezi beach huko na kwingineko kwa washua huko biashara itatembea, vitu vyako ni vizuri kwakweli ila sasa target market yako kwa bei hizo iwe ushuani uzuri wa vitu vyako ni quality sana. Hongera kwa kuwa na local production nzuri namna hii
 
Mkuu kafungue store Masaki, Mikocheni, Mbezi beach huko na kwingineko kwa washua huko biashara itatembea, vitu vyako ni vizuri kwakweli ila sasa target market yako kwa bei hizo iwe ushuani uzuri wa vitu vyako ni quality sana. Hongera kwa kuwa na local production nzuri namna hii
Asante Sana, tuna miaka mitano sasa, na tumefungua outlet Samora Avenue NHC Building.
 
Back
Top Bottom