raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Nilidhani Kuna laptop. Mkoba mtupu kuniuzia laki tatu nimasihara hayoKuna mambo mengine hata kama unakua umenuna inakubidi ucheke mtu anauza begi 300k au 250 alafu unauliza linakua na laptop sasa si angesema[emoji2][emoji2][emoji2]
Au wewe unaonaje hiyo bei?! Mkoba mtupu laki 3🤣🤣🤣🤣🤣
Walah nimecheka!!
[emoji1][emoji1] Wa ngozi asilia huo bhana.Nilidhani Kuna laptop. Mkoba mtupu kuniuzia laki tatu nimasihara hayo
Mkuu haya mabegi itakuwa sio kwa ajili yetu🤣🤣🤣Au wewe unaonaje hiyo bei?! Mkoba mtupu laki 3
Hilo swali lako.Umecheka nini
Yenu wewe na Nani? [emoji2]Mkuu haya mabegi itakuwa sio kwa ajili yetu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi na huyo.Yenu wewe na Nani? [emoji2]