Je wajua maajabu ya matunda kwa afya ya binadamu?

jwille

Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
32
Reaction score
29
Matunda na mchanganyiko wa mboga ya umbi jani ni moja ya maajabu makubwa yafanyayo kazi ndani ya mwili wa mwanadamu ya Kurudisha (boady renew), kujenga mpya (boady restore) na Kuhuisha (boady revive) .

Mchanganyiko huu wa matunda ukifanyika vyema na kuifadhiwa madhubuti huweza kutumika kama dawa na kinga kwa maradhi mengi sana ndani ya mwili wa mwanadamu.

Mchanganyiko huo huweza kusaidia yafuatayo ndani ya mwili:

1) kusisimua afya bora
2) kuongeza nguvu
3) kuongeza umakini wa akili
4) kumudu uzito
5) kuimatisha afya ya mfumo wa moyo
6) kuimarisha afya ya mfumo wa kinga ya mwili
7) afya ya macho
8) afya ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula na utumbo
9) mahitaji mahususi ya kiafya ya wanawake
10) kupambana na uzee ( ant aging)
11) viwango sahihi vya PH
12) kurejesha nguvu zilizopotea kwa michezo na matumizi ya nguvu nyingi
14) hisia maridhawa za uzima
15) kuboresha afya ya mtu mwenye kisukari

Ni vigumu sana kwa watu wengi kuweza kupata mkusanyiko sahihi wa matunda na mimea ya umbi jani kuweza kupata lishe iliyo sahihi kwa afya bora.

Vipo baadhi ya vinywaji vingi wanavyoclaim kuwa vina mchanganyiko ulio sahihi wa matunda na umbijanibkuweza kutumika kuboresha afya ya mtu.

Kwa sasa kuna kinywaji kilichosibitishwa na mashirika ya afya duniani na kuweza kuokoa maelfu ya afya za watu.Nacho ni TRE'VO.kwa maelezo sahihi na jinsi ya kurudisha avya yako kwenye ubora wake kwa kutumia mkusanyiko wa matunda, tuwasiliane kwa namba 0714951721/0714844370
 
Elimu nzuri. Ahsante kaka mkuu
 
Pitia kwa makini kwenye google au majarida ya afya na tafiti nguvu ya mkusanyiko wa matunda kwa afya yako
 
Back ktk point hii trevo tunayoizungumzia ni nini??

Trevo ni kirutubisho chenye viungo 174 ambavyo vinatokana na mimea, mbogamboga na matunda na madini asili.
Kirutubisho hicho kimetengenezwa Marekani na Billionaire aitwaye Mark Steven na Mkewe Holli
Trevo ina nguvu tatu Renew, Revive na Restore Seli za mwili
Mchanganyiko ulioko ndani ya Trevo unaipa nguvu kubwa Sana ya kutoa sumu mwili kwakuwa inakuwa na antioxidant kubwa Sana kupambana na maradhi mbalimbali ndani ya mwili Wa mwanadamu hivyo basi inasaidia yafuatayo;
1. Kisukari
2.Kansa
3.Presha
4.Magonjwa ya macho
5.Magonjwa ya Ngozi
6.Changamoto za kukosa watoto kwa wanaume na wanawake
7.Matatizo yote ya kipindi cha hedhi kwa wan awake
8.Kuongeza CD4 haraka Kwa wanaoishi na virusi vya ukimwi
9.Magonjwa ya Moyo
10.Kupooza/stroke
11.Watoto wasiopenda kula
12.Asthma
13.Allergy
14.KUPUNGUZA UZITO
15.kutoa sumu mwilini kwa hali ya juu sana kwa kiwango cha ORAC cha 373000 antioxidant
16. Changamoto ya kubalance homoni za mwili kwa wale wanawake wanaopata mimba bila mpangilio
17 .kuleta brain focus(kutoa stress)
18.kukupa usingizi unaostahiki bila kuamka na uchovu
19.kuwapa umakini wa akili watoto ktk ukuaji wao
20.vidonda vya tumbo
21.mifupa na joints kwa wale wenye umri mkubwa
22.matatizo ya mgongo
23.Kuimarisha na kukuepusha na maradhi hapo juu na mengine mengi sana.

Kuna shuhuda nyingi sana kuhusu magonjwa mbali mbali na ni kipindi kifupi tuu ilivyo ingia hapa tanzania!

Pia trevo imethibitishwa na mashirika makubwa ya afya duniani.

1.KOSHER. ni shirika la waisraeli ambalo hutoa certificate na nembo ktk vyakula amabavyo ni sahihi kutumiwa na mtu mwenye imani ya kikristo au myahudi inamaana kirutubisho hiki kinafaa kuliwa na watu wa imani hizo.hakina mchanganyiko unao pingana na imani hii

2.ORAC- ni maabara kubwa inayotumika kupima uwezo wa utoaji sumu mwilini ktk vyakula iliipatia Trevi kiasi kikubwa sana cha antioxidant ya 373000 ni kiasi cha juu sana kulinganisha na supplements nyinginezo

3.HALAL ni shirika la kiarabu kwa wale wenye imani za kiislamu walithibitisha trevo ni salama kwa mtumiaji mwenye imani hiyo haina mchanganyiko wa kwenda kinyume na imani hiyo

4. VEGETARIAN . Ni shirika la watu wasio kula mazao ya mnyama bali wana kula mboga mboga na mimea na matunda na mizizi

5.TFDA- shirika la cha kula na dawa tanzania hii ilidhibitisha ni trevo ni sahihi kwa matumizi ya mtanzania hivyo wakaipa certificate tarehe 11/11/2014


Mbali na faida kiafya na matokeo mapema sana kwa watu walio na matatizo hapo juu kwa tanzania tu kwa miezi mitatu iliyokuwepo trevo inashuhuda nyingi sana kwa kusahidia afya za watu mbali mbali tunao wafahamu waliteswa na magonjwa hayo !!
 

Hao forever living madude yao yana bei ghali sana hawafai.
 
Hii sio products za forever living
 
Zipi Ni Njia Sahihi Za Kupunguza Uzito?
Watu wengi sana wanatafuta njia za kuweza kupunguza uzito wa miili yao au kwa maneno mengine, watu wengi wanene hutumia njia mbalimbali ili wawe wembamba. Kutokana na hilo, watu wengi wanajitokeza na kujipatia fedha kwa kudai kuwasaidia watu hao katika kupunguza uzito wa miili yao. Kwetu hapa Tanzania, njia zinazotumika ni dawa za asili(hapa namaanisha dawa zilizotengenezwa hapa hapa kienyeji au mitishamba) na dawa zilizoletwa na makampuni mbalimbali ya nje ya nchi, zikiwemo za asili na za kemikali. Kila mmoja aliyetumia dawa hizo amekuwa na maoni tofauti, wapo walioridhika na matokeo na wapo ambao waliona dawa hizo hazikuwafaa.

Katika kutumia dawa hizo yapo mambo ambayo yanapaswa kutazamwa, si tu kupungua au kutopungua uzito bali na matokeo mengine ambayo yanasababishwa na matumizi ya dawa hizo (side effects). Najua hakuna aliyechukua hatua ya kufanya utafiti huo, lakini kitu cho chote unachotumia huwa na matokeo mengine mengi ambayo hayakuwa yamekusudiwa.

Tatizo la kupunguza uzito si la hapa kwetu tu, ni la ulimwengu mzima. Sasa jee, wenzetu wenye utaalamu zaidi wanasemaje kuhusu hili?

Njia Sahihi Za Kupunguza Uzito

Pamoja na kwamba kuna mambo mengi yanayotajwa na kutumika kama njia za kupunguza uzito, kiutaalamu yote yanalenga kupunguza mafuta (fat) mwilini. Hivyo basi njia sahihi za kupunguza uzito huo ni mbili. Ya kwanza ni kuwa na mpango maalumu kuhusu chakula na namna unavyokula na ya pili ni Kufanya mazoezi ili kupunguza mafuta yalliyojazana chini ya ngozi (adipose tissues). Katika kufanya hayo yote, inabidi kuwa na malengo katika kupunguza uzito wako.Kuna kiwango cha chini cha uzito ambacho kila mtu inafaa awe nacho kulingana na umri na urefu alio nao. Kupunguza uzito chini ya kiwango hicho kunaweza kuleta matatizo mengine ya afya baadaye. Inafaa basi kabla ya yote kujua unataka kupunguza uzito kwa kiasi gani. Sasa tutazame kila moja ya njia hizo hapo juu za kupunguza uzito.

Mpango Wa Chakula Na Namna Ya Kula

Kusudi mwili uwe na nguvu, kila wakati huhitaji kukuvunjavunja na kuunguza mafuta yaliyomo mwilini. Endapo mwili utagundua hakuna chakula tumboni, utaacha kuunguza mafuta na badala yake utaanza kuvunjavunja misuli ya mwili. Imethibitiswa kwamba watu wanaokula milo mitatu kwa siku wanapunguza uzito wao zaidi ya wale wanaopata milo pungufu. Hii ina maana gani? Maana yake ni kwamba siyo sahihi kufikiri kuwa unaweza kupunguza uzito kwa kupunguza kula. Kupunguza uzito kwa njia inayofaa ni kula milo ya kawaida na chakula cha aina fulani na kamwe si kwa kuruka milo.

Chakula Cha Kupunguza Uzito

Kusudi kupunguza uzito mwili unahitaji milo iliyokamilika. Milo hiyo iwe na chakula cha makundi yote yaani protini (protein), wanga (carbohydrates) na matunda. Kitu cha kuzingatia ni uwiano wa chakula hicho katika mlo mmoja. Kufanya yafuatayo kutasaidia kupunguza uzito wa mwili wako:

1. Kula chakula chenye kalori ndogo kwa wingi. Hapa ina maana inakupasa kula matunda na mboga kwa wingi zaidi ili kulifanya tumbo lako lijae. Wawewza kutengeneza mlo wako ukawa hadi asilimia 50% kuwa ni mbogamboga tu.

2. Tumia zaidi nafaka nzima kuliko chakula cha wanga kilichosagwa
3. Tumia mafuta kidogo ya kupikia
4. Jenga tabia ya kula nyumbani na si hotelini. Kula hotelini kunasababisha ule zaidi ya kipimo na kuna tatizo jingile la kutokujua chakula hicho kiliandaliwa kwa kutumia viungo gani na kwa vipimo vipi.
5. Kunywa maji mara nyingi kwa siku. Kwa mwanamme kunywa maji hadi lita 3 kwa siku na mwanamke lita 2 kwa siku. Maji yana faida nyingi sana mwilini lakini pia hujaza sehemu fulani ya tumbo na kitu kisicho na kalori kabisa. Maji baridi yanafaa zaidi kusudi mwili utumie kalori kuyapasha hadi kufikia joto la mwili. Ukijijengea tabia ya kunywa maji nusu lita, nusu saa kabla ya kula chakula itakusaidia sana hasa kama una umri mkubwa.

Mazoezi Ili Kuunguza Kalori

Jiwekee mpango wako mzuri wa kufanya mazoezi. Ikiwa ulikuwa hufanyi mazoezi kabisa, anza taratibu kwa mazoezi ya nusu saa, mara tatu kwa wiki na kuongeza muda taratibu. Unaweza kuanza kwa kuzunguka hapo nyumbani tu kwanza.

Ukiweza kwenda kufanya mazoezi gym chini ya watu waliofunzwa itakuwa bora zaidi. Mazoezi mengine unayoweza kufanya ni kama Yoga, karate, kickboxing n.k. Unaweza kujiunga na michezo kama mpira wa miguu, volleyball, tennis, haya yote yatakusaidia zaidi.

Mazoezi Ya Kupunguza Mwili Na Tumbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…