Je wajua maana ya neno hili

Je wajua maana ya neno hili

KiuyaJibu

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2007
Posts
848
Reaction score
191
Je Wajua maana ya neno SHAROBARO?Maana yake ni ****** ya nyani;hiyo ni kwa mujibu wa kamusi(Dictionary) ya lugha ya Kiswahili.Huwezi amini,lakini ndiyo ukweli wenyewe huo.
 
Yesu na Maria kwahiyo hawa watu wanaojiita MASHAROBARO wanalifahamu hili??!!
Na huyo jamaa anyejiita PREZIDA???

Je Wajua maana ya neno SHAROBARO?Maana yake ni ****** ya nyani;hiyo ni kwa mujibu wa kamusi(Dictionary) ya lugha ya Kiswahili.Huwezi amini,lakini ndiyo ukweli wenyewe huo.
 
Back
Top Bottom