Je, wajua mara ya mwisho Simba kuchukua ubingwa?

Hapo kwenye no 10 umedanganya. Osama aliuawa 2/5/2011 na Simba alichukua ubingwa kwa ligi msimu wa 2011/2012 yaani ligi ilianza Septemba na kuisha Mei 2012
Osama Aliiwawa May 2011, Simba Ligi ilianza Sep 2011! Si ndio? Sasa nani kati yetu kadanganya?
 
Ha haha mtoa thread umeua! Hawa jamaa ni kama notingham forest! Wamekalia history na kichuya wao yaani raha yao kuifunga yanga ubingwa siyo priority yao.
 
Sishangai maana ligi ya tanzania imejaa fitina na uchawi pamoja na rushwa
 
Leicester City ilikuwa haijapanda daraja.

Blatter alikuwa rais wa FIFA
 
Uhakika upo simba kuchukuwa ubingwa waende fifa wakishindwa warudi tff.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…