Je wajua? Marekani ilimuweka Nelson Mandela kwenye orodha ya magaidi hadi mwaka 2008

Strong ladg

Senior Member
Joined
Jul 15, 2021
Posts
170
Reaction score
445
Ole wako uende kinyume na US, utaitwa Kila jina chafu,Kisha ufungwe na uuawe.
 
Kama angekuwa Muislam Hadi Leo hii angekuwa anaitwa gaidi kama vile kanali Gadafi huku mambumbu wakishangilia
 
Nani anapotosha umma wakati ni ukweli? Nenda Google basi utafute kama unaona ni uongo
 
Afu inatokea ng'ombe moja inakuambia sijui Marekan kimepanda kimeshuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…